caf

The CAF Champions League is an annual continental club football competition run by the Confederation of African Football (CAF). The top club sides from Africa's football leagues are invited to participate in this competition, which is the premier club football competition in the continent and the equivalent to the UEFA Champions League. Due to sponsorship reasons, the official name is Total CAF Champions League, with Total Champions League also in use.The winner of the tournament earns a berth for the FIFA Club World Cup, a tournament contested between the champion clubs from all six continental confederations, and also faces the winner of the CAF Confederation Cup in the following season's CAF Super Cup.
Egypt's Al Ahly SC is the most successful club in the competition's history, having won the tournament eight times. Egyptian clubs have accumulated the highest number of victories, winning the title 14 times.

View More On Wikipedia.org
  1. Je, zawadi za pesa kwa magoli zinakiuka kanuni za CAF?

    Leo kuna jambo nilikuwa nafuatilia na katika kupekuapekua huko mitandaoni, nikawa napitia kanuni na sheria za mashindano ya CAF nikakutana na kitu kilichonifanya nijiulize maswali kuhusiana na zawadi za magoli za Muheshimiwa Rais Samia Hassan. Katika document ya CAF inayoitwa "Regulations of...
  2. Simba yaingia katika rekodi ya timu zilizotoa vipigo vikubwa katika historia ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika

    Simba imeweka rekodi ya kuwa timu ya pili kutoa kipigo kikubwa kwa uwiano wa magoli katika Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, ni baada ya kuichakaza Horoya AC magoli 7-0 kwenye Uwanja wa Mkapa, Machi 18, 2023. Timu inayoongoza katika rekodi hiyo ni TP Mazembe ambayo ilitoa kipigo cha...
  3. FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

    Mnyama Mkubwa Mwituni asiyefugika, Simba Sports Club anashuka dimbani leo kuikabili Horoya AC katika mchezo muhimu wa kundi C. Simba itaingia uwanjani ikiwa na alama 6 huku Horoya wakiwa na alama 4. Ushindi wa aina yoyote utawafanya Simba wafuzu robo fainali. Leo ni ama afe kipa au afe beki...
  4. S

    Rais wa club ya Yanga kawatoa hofu ubingwa wa CAF ni lazima jangwani

    "Sisi ndio tutakuwa timu ya Kwanza kutoka kwenye ardhi ya Tanzania kulileta Kombe la CAF nchini Inshallah, Jumapili tukifanikiwa kutinga Robo fainali nina Imani tutavuka na kwenda Nusu fainali , baadae Fainali na Inshallah sisi ndio itakuwa timu ya Kwanza kushangilia taji hili"" Wananchi msiwe...
  5. Simba Sc yaendelea kuingiza timu 4 mashindano ya CAF

    SIMBA imeshaipa neema Tanzania 🇹🇿 baada ya kuingiza timu nne kwenye mashindano ya klabu Afrika msimu huu na msimu ujao kwa mara ya tatu mfululizo. Kitendo cha Simba kuwepo katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika hadi sasa kimeihakikishia Tanzania pointi moja. Aidha Yanga kuwepo...
  6. J

    Chama kwa CAF ni kama Messi kwa UEFA: Achaguliwa mchezaji bora wa CAF Champions League

    Mchezaji wa Simba Clatos Chota Chama amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa wiki wa mashindano ya CAF Champions League. Hii ni baada ya mashabiki wa soka barani Afrika kumpigia kura kwa kishindo kati ya wachezaji wanne waliokuwa wakiwania. Hii inanikumbusha Messi alivyokuwa akifunika UEFA kipindi...
  7. CAF Team of the Week; Chama, Kapombe ndani

    Hii ni official Team of the Week ya CAF Championship. Mnyama ameingiza wawili Show-me the Way na Mwamba wa Lusaka
  8. Simba tunaomba CAF watupangie Mamelodi robo fainali

    Niwaombe Caf, chonde chonde watupangie Masandawana au Mamelodi sundowns. Naona wanajitapa sana huko mitandaoni na mbaya zaidi wanasema wakikutana na sisi watatugeuza kama kitoto cha simba mbele ya kundi la fisi 40. Kwa heshima ya mpira wa Tanzania na afrika kwa sasa timu pekee inayoweza kuziba...
  9. IFFHS yatoa timu 10 bora za CAF, Simba ya 9

    IFFHS imetoa orodha ya timu 10 bora za mwezi za CAF 1. Ahly - 220 points 2. Wydad - 170 points 3. Zamalek - 154 points 4. Pyramids- 140.5 points 5. Al Hilal - 132.75 points 6. Mamelodi- 127 points 7. CR Belouzidad - 117.75 points 8. Raja Casablanca - 117 points 9. Simba SC - 113 points 10. Petro...
  10. FT: Simba SC 1-0 Vipers SC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa Stadium | 07.03.2023

    Leo majira ya saa 1:00 usiku, katika dimba la Benjamin Mkapa, Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika watakuwa wanawakaribisha Vipers Sc katika mchezo muhimu sana. Huu ni mchezo ambao Simba anahitaji alama zote 3 kwa hali na mali ili kujiwekea mazingira mazuri ya...
  11. Mwana FA mgeni rasmi Simba Vs Vipers, mchezo wa CAF Champions League

    Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mchezo wa klabu bingwa Afrika kati ya Simba Vs Vipers SC ya Uganda mchezo utakaochezwa Jumanne Machi 7, 2023 katika Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.
  12. Timu mpaka inafungwa na Utopolo CAF basi kimeo

    FT: TP Mazembe 0-2 Monastir Huwezi kujiona una timu kwa kuifunga TP Mazembe nyumbani. TP Mazembe ni ile ya kina Samata au hii ya juzi kati ya kina Baleke. Timu mpaka inafungwa na Utopolo hiyo sio timu ni kikundi cha wahuni. Yaani mgonjwa mahututi anakuja kupigia chafya kwako. Angalia hapo...
  13. Tuwe wakweli, kuna timu dhaifu inaweza kuingia kwenye ligi ya makundi CAF?

    Kuna mbumbumbu Tanzania hili halipingi, leo Nina swali moja tu, naomba nielimishwe mchakato unaopitia timu mpaka kufika kwenye makundi ni UPI? Tukishaujuwa mchakato huo tueleza ukweli je kuna timu dhaifu unaweza kutobowa kufika makundi? Kama jibu ni ndio turudi kwetu tujiulize Simba na Yanga...
  14. TP Mazembe hamna kitu, yapokea kipigo kingine ikiwa nyumbani kwao

    TP Mazembe imeendelea kufanya vibaya katika Kombe la Shirikisho Afrika, ikiwa nyumbani imefungwa magoli 2-0 dhidi ya US Monastir ya Tunisia. Mechi inayofuata ya Kundi D ni Real Bamako ya Mali dhidi ya Yanga.
  15. FT: AS Real Bamako 1-1 Young Africans | CAF Confederation Cup | Stade Modibo Keita | 26.02.2023

    Ni Jumapili tulivu, wapenda kandanda tunakutana tena hapa jukwaani kushuhudia mechi za Kombe la Shirikisho Afrika. Leo katika Kundi D, AS Real Bamako ya Mali inawakaribisha wawakilishi wa Tanzania, Young Africans SC. Ikumbukwe AS Real Bamako, bado inatafuta ushindi wake wa kwanza, mara baada...
  16. M

    Mashindano ya CAF ngazi ya makundi kwa vilabu 2022/2023

    Habari wadau wa JF. Naomba mupokee na kuendelea kuboresha hili bandiko linalohusu mashindano ya CAF kwa vilabu kwa msimu wa mwaka 2022/2023. Kwa kuanzia nitaweka misimamo kwa mashindano tajwa ambapo nitawaomba wadau muanze kutoa tathmini zenu bila matusi kuangalia mafanikio ya vilabu toka katika...
  17. KWELI Uwanja wa Mkapa kufungwa kwa muda baada ya CAF kushauri uboreshwe

    Asubuhi ya leo, Februari 22, 2023, kumekuwepo taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikisema kuwa Shirikisho la Mpira Afrika (CAF) limeufungia uwanja wa Mkapa kutokutumika kwa mwezi mmoja ili kuruhusu kufanyika kwa maboresho ya sehemu ya kuchezea (Pitch) ambayo imeharibika na kukosa...
  18. Serikali yasema Milioni 5 Rais Samia ni za Kila Goli kwa Mechi zote za CAF

    MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema ahadi ya kununua magoli yatakayofungwa na Simba SC na Yanga kwenye mashindano ya kimataifa iliyowekwa na Rais Samia Suluhu Hassan inaendelea hadi mwisho wa mashindano ambayo timu hizo zinashiriki. Msigwa amesema katika michezo ya timu hizo...
  19. Moïse Katumbi, umejisikiaje kucheza na timu kubwa?

    Niseme nini kuhusu Yanga Africa, niambieni niseme nini? Mpaka kesho najiuliza hivi inawezekana vipi kuwa shabiki wa soka bila kuipenda Yanga? Sijawahi kupata jibu. Yanga ni furaha, Yanga ni upendo, Yanga ni kielelezo cha ladha halisi ya soka. Ifike hatua huyu Mayele tumtafutie jina lake maalumu...
  20. Waziri Dkt. Pindi Chana alishuhudia Mchezo wa Klabu Bingwa Afrika kati ya Simba Sports Club dhidi ya Raja Casablanca

    Kuna shutuma zimetolewa na MINOCYCLINE zikiwa na lengo la kuichafua Serikali, Waziri Dkt. Pinda Chana na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo. Serikali kupitia Waziri Dkt. chana imehudhuria michezo yote ya Simba na Yanga na sio mchezo wa Yanga pekee kama ambavyo MINOCYCLINE ameeleza. MECHI YA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…