Raundi ya Kwanza ya Michuano ya Afrika ngazi ya klabu inatarajiwa kuanza wikiendi hii ambapo timu za Tanzania pia zitakuwa uwanjani ndani na nje ya Nchi.
Leo Septemba 10, 2022, Yanga itavaana na Zalan ya Sudani Kusini kwenye Uwanja wa Mkapa, Simba ipo Malawi kucheza dhidi ya Nyasa Big Bullets...