caf

The CAF Champions League is an annual continental club football competition run by the Confederation of African Football (CAF). The top club sides from Africa's football leagues are invited to participate in this competition, which is the premier club football competition in the continent and the equivalent to the UEFA Champions League. Due to sponsorship reasons, the official name is Total CAF Champions League, with Total Champions League also in use.The winner of the tournament earns a berth for the FIFA Club World Cup, a tournament contested between the champion clubs from all six continental confederations, and also faces the winner of the CAF Confederation Cup in the following season's CAF Super Cup.
Egypt's Al Ahly SC is the most successful club in the competition's history, having won the tournament eight times. Egyptian clubs have accumulated the highest number of victories, winning the title 14 times.

View More On Wikipedia.org
  1. Viongozi Yanga Sc waipigia magoti CAF

    Wakati michuano ya club bingwa barani Africa hatua ya awali ikitarajiwa kuanza mwezi ujao tetesi zinasema kuwa uongozi wa Yanga kupitia CEO wao senzo wameiandikia shirikisho la mpira wa miguu barani Africa barua ya kuwaomba mchezo wao hatua ya awali waanzie ugenini na siyo nyumbani wakiofia...
  2. N

    La Wydad Simba day halitawezekana, leteni wengine wakali ndani ya top 20 za CAF

    Yes mmetuma barua ya maombi tarehe 8 /08 waje simba day lakini haihitaji kuwa rocket scientist with PhD kujua kwamba hilo haliwezekani kwani majamaa wana super cup vs Berkane kama sikosei ni tarehe 11/08 Ligi ya Misri ndiyo inaelekea kuisha sidhani kama kuna team itapatikana huko maana lazima...
  3. Timu aliyotoka Augustine Okrah (Bechem) haijawahi kushiriki mashindano yoyote ya CAF

    Naam Bechem United haijawahi kushiriki mashindano yoyote ya CAF na mafanikio yake makubwa ni kuchukua kombe la FA la nchi yao (kama ASFC hapa Bongo). Timu aliyotoka Aziz Ki Asec imewahi hata kuchukua kombe la africa kabisa mwaka 1998 na kubeba super cup yake 1999.
  4. CAF Goal of the Year; mpigie kura Pape Sakho

    http://cafawards2022goty.com/
  5. Yanga kuomba CAF waanzie ugenini!Ama kweli hawa ni Utopolo

    Timu underdog inaipangia CAF ianzie ugenini
  6. CAF itaruhusu kila klabu kusajili wachezaji 40 badala ya 30

    Kuelekea msimu mpya wa michuano ya CAF yaani Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho. Shirikisho la Mprira Barani Afrika (CAF) limeweka bayana mambo kadhaa. 1. CAF itaruhusu kila klabu kusajili wachezaji 40 badala ya 30 2. Kuanzia sasa wachezaji 9 watakaa kwenye benchi badala ya 7ilivyokuwa...
  7. Hawa hapa wapinzani wa Yanga michuano ya CAF champions league

    Caf champions league hatua ya awali inatarajiwa kuanza mwezi nane, ni wakati muafaka sasa kwa mabingwa wa Nbc premier league yanga sc kuhipanga kisawa sawa isije kutokea ya msimu uliopita. Ikumbukwe kuwa katika hatua hii ya awali wapo pia Rivers united waliowafurusha yanga sc kwa kuwapiga nje...
  8. N

    Mo Dewji timiza ahadi ya USA tukipata bahati ya draw CAF

    Uliahidi mwenyewe August 2021 kwamba kambi mwaka huu ni washington Dc USA huku Dc utd wakiwa team mwenyeji na tutashiriki mashindano maalumu yanayoshirikisha teams za MLS na za South America. Please timiza ahadi yako siyo baadaye kuja kusikia sijui team iko south au spain na kupata mechi za...
  9. N

    FUNUNU: CAF kujibiwa leo mchana na RAIS mtarajiwa ,walimtibua sana jana

    Jana wambeya na wasiotakia mema klabu bingwa tarajiwa ya Afrika yaani Yanga sc walifurahia sana taarifa kwamba CAf wamepost huko twitter wakisema team hiyo bora kabisa kwa viwango hapa afrika mashariki itaanzia round ya awali yaani preliminary round Lawama zote zikaenda kwa msemaji msomi au...
  10. TFF iwaandikie barua CAF kupinga kuchezeshwa mechi zetu za Afcon qualifier na waamuzi wabovu

    Kitendo cha mpira wa adhabu ndogo waliopata Niger kupigwa juu sana na bila kuguswa na mchezaji yoyote na ukatoka nje na kwa maajabu ya kila alietazama mechi ya Niger na Tanzania na Niger kupewa kona kimetia aibu mno waamuzi wapumbavu wa kiafrika wanaobeba timu zao bila aibu. Leo kila mchezaji...
  11. N

    Habari mbaya kwa Makanjanja: kocha chizi la Orlando Pirates aiomba msamaha Simba na CAf

    Habari hii ndugu zangu wana jukwaa hamtaisikia ikiongelewa kwenye "media" zetu za HOFYOHOFYOOOOOO makanjanja huko yalipo yamekunja hadi sura maana week hii wamejaribu kufanya yooote kutingisha wana simba waapiiii raia wamekausha tu kimya lengo lao la kuleta mgogoro limeshindikana Team kushika...
  12. N

    Vita dhidi ya CEO Barbara: Jina liliondolewa na nani alipochaguliwa na CAF kwenye kamati?

    unakumbuka awamu iliyopita Mr Membe alipokuwa anatakiwa ale shavu la ukatibu mkuu jumuiya ya madola jina likaondolewa na host country yaani wakubwa wa awamu ya tano? Basi hayo yamejitokeza kwenye soccer ,kama unadhani walimsamehe Barbara Gonzalez kwa kuidindia ile deal ya kitapeli ya...
  13. M

    Suala la Simba kupigwa faini na CAF limekwisha na maisha lazima yaendelee

    Tuna tatizo la kujadili mambo mabaya na kuacha mazuri. Ni kweli lile ni kosa na limeshafanyika na Simba imeshapigwa faini limekwisha na kama kujifunza tumejifunza. Kuna mambo mengi sana kwenye soka la Afrika. Ila hatupaswi kuiga mambo mabaya. Kosa limeshatokea na tumeadhibiwa kwa kosa hilo...
  14. N

    BAD NEWS: Simba tumeshuka ranks za CAF hatarini kuanzia round ya awali na vilaza, Namungo bado ya 56

    dah siamini aisee, kutoka 12 hadi 14 anyway dah naona namungo bado wako palepale 56, hapo ndo mwisho wa list kama team yako hauioni pole sana Shida ni kwamba kwenye zile top 10 za kuanzia round ya kwanza naona kama safari hii ni ngumu maana kuanzia namba moja hadi 13 , teams ambazo kwenye nchi...
  15. N

    Timu zinazoshiriki michuano ya CAF ina mabeki kama kina Inonga kuanzia wawili, hili yanga lazima tulitambue

    Hili wananchi lazima tulielewe. Ni kweli straiker wetu amekuwa tishio kubwa kwa vilabu vya ndani lakini tukirudi kimataifa bado naona kuna kazi ya ziada inatakiwa ifanyike Ili kufanya vizuri mashindano haya. Mechi na Simba ilikuwa kipimo kizuri sana kwa yanga kuonyesha ni vipi wanaweza...
  16. CAF Wanaipenda sana Simba

    Katika ukurasa rasmi wa CAF klabu bingwa na shirikisho wakiwatakia kheri WAISLAMU wanaosherehekea EID EL FITR siku ya leo wameweka picha yenye wachezaji wa timu nane zilizofuzu nusu fainali ya klabu bingwa na shirikisho wakaweka na picha ya mchezaji mmoja tu kutoka katika timu ambayo haipo nusu...
  17. Caf page: wasipo post goli la Sacko wanapost Mautundu ya Sacko!

    Sacko ni lulu yenye thamani kubwa sana.... Kwahiyo Mayele kule Caf hajulikani et!
  18. Caf confederation cup team of week

    Nimeifuma mahala
  19. Kuuliza si ujinga, Mamelod Sundowns wa "Snake" yupi anaeongelewa sana kwenye mijadala ya CAF

    Nimekuwa mfuatilia kiasi kwenyw mijadala ya page za CAF mtandaoni nimekutana sana na hili neno snake kuwahusu Mamelod. Na leo kuna mtu amewashauri Orlando waazime snake wa Mamelod wakija kucheza na Simba kwa sababu Simba kwao wanatumia African magic witchcraft iliyosababisha Kaizer Chief...
  20. Mkutano Mkuu wa CAF mwaka 2022 kufanyika Arusha, Agosti 10, 2022

    Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limepitisha kuwa Mkutano Mkuu wa 44 wa Kawaida wa CAF utafanyika Agosti 10, 2022 Jijini Arusha, Tanzania. Katibu Mkuu wa CAF, Veron Mosengo-Omba amesema kuwa kwa mujibu wa Katiba ya CAF kifungu cha 17(4) na 17(5) Mkutano huo unafanyika mara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…