call centre

  1. T

    Dkt. Biteko ataka Uongozi wa Call centre ya TANESCO ufumuliwe

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amekerwa na utendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) akitoa maagizo uongozi wa kituo cha miito ya simu (call centre) ufumuliwe. Maagizo ya Dk Biteko kwa Tenesco ni kufuatia kutotekelezwa kwa maagizo yake ya aliyoyatoa mwaka jana ya...
  2. M

    Wanatafutwa wasimamizi wawili wa Call Centre

    Wadau natafuta msimamizi wa kituo cha kupiga simu kwa wateja. Kazi zake ni kama zifuatazo 1. Kusimamia timu ya upigaji simu ili kuhakikisha kazi inafanyika kwa ufanisi 2. Kuongoza timu ya upigaji simu kulingana na Utaratibu na malengo ya Taasisi 3. Kusimamia na kuongoza vikao vya kila siku vya...
Back
Top Bottom