Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amemfungulia mashtaka mwandishi maarufu wa habari kutoka nchini Marekani Candace Owens kwa kutoa taarifa za kupotosha kuwa mke wa Rais Macron , Brigitte Macron ni mwanaume aliyebadili jinsia.
Candace Owens amekuwa mara nyingi akieleza kuwa Brigitte Macron ni...