"cant connect to this network

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Nilinunua USB Wifi Adapter mbili zote ziligoma kuunga router "cant connect to this network" Nimeweza kulitatua tatizo nami nawashirikisha.

    Nilinunua wifi adapter zinabagua kuunga wifi, mfano nikiwasha hotspot ya simu inaunga lakini nikitumia touter mifi inakataa kuunga inandika cant connect to this network. Nilitafuta sana solutions kuanzia kununua adapter nyingine ya pili, ku reset network, kusafisha windows, n,k lakini wapi...
Back
Top Bottom