Picha na AP.
Waandamanaji 10 wanaripotiwa kuuawa na polisi baada ya kuvamia jengo la Bunge la nchi hiyo na kuwashinda nguvu polisi.
Hali kwa sasa ni shwari kidogo baada ya polisi kuongeza nguvu ya idadi katika eneo hilo. Idadi ya watu wapatao 5o wamejeruhiwa na huenda idadi hiyo ikaongezeka...