canter

The canter and gallop are variations on the fastest gait that can be performed by a horse or other equine. The canter is a controlled three-beat gait, while the gallop is a faster, four-beat variation of the same gait. It is a natural gait possessed by all horses, faster than most horses' trot, or ambling gaits. The gallop is the fastest gait of the horse, averaging about 40 to 48 kilometres per hour (25 to 30 mph). The speed of the canter varies between 16 to 27 kilometres per hour (10 to 17 mph) depending on the length of the horse's stride. A variation of the canter, seen in western riding, is called a lope, and is generally quite slow, no more than 13–19 kilometres per hour (8–12 mph).

View More On Wikipedia.org
  1. Mnyenz

    Je wajua: Siasa za CCM & CHADEMA huamua bei elekezi ya vitu hivi?

    Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, sisi kama wananchi tunayo mengi ya kujifunza. Tunayo haja ya kuchuja sera zao kwa upana kwa maana wao hawa wanasiasa ndio huamua bei za vitu tunavyohitaji katika maisha ya kila siku. Leo nakuchapishia picha ya vyombo vya moto ambavyo wanasiasa...
  2. M

    Car4Sale Mitsubishi Canter (EHP) Tani 2.5 Inauzwa TZS. 35m

    Mitsubishi Canter (EHP) Tani 2.5 Inauzwa TZS. 35m . Full AC 2830cc Manual Diesel Gari ni mpyaaa . Bei: TZS. 35m . 0717 650800
  3. Teko Modise

    Ajali: Basi la Asante Rabbi lagonga Canter maeneo ya mzani wa Njiku Singida usiku huu

    Tumepita sasa hivi hapo, Basi la Asante Rabbi linalofanya safari zake Arusha Mwanza, limegonga Canter baada ya dereva wa basi hilo kujaribu ku-overtake. Mtu mmoja mwanaume amelala chini pembezoni mwa ajali huku akiwa hajitambui. Maafisa wa jeshi la polisi wamefika eneo la tukio. Taarifa zaidi...
  4. chazi piere

    Nauza gari mitsubishi canter D33 tiper

    Gari ipo kwala Bei M 13 For more details Contact 0578804442
  5. FRANCIS DA DON

    Ajali ya Canter namba T817 DGJ meter 75 toka mataa ya Tabata

    Ajali ya Canter namba T817 DGJ meter 75 toka mataa ya Tabata IMESAGIKA, wahusika wahini.
  6. Magari ya Biashara

    Car4Sale Magari Makali Haya Hapa yanapatikana SHOWROOM kweetu. Ukiwa na pesa pungufu usijali gari utapewa tu

    TUNAPATIKANA UBUNGO STENDI YA ZAMANI YA MKOS MKABALA NA MIC HOTEL NJIA YA KUINGILIA NBC BANK MOROGORO ROAD MAWASILIANO 0711707070 AUDI A4 YEAR : 2013 Stock No: 23/000536 Engine Capacity: 1800CC Mileage:49,524KM TRANSMISSION: AT LEATHER SEAT PRICE:35,000,000/= (With Full Registration) TOYOTA...
  7. B

    Car4Sale Canter Tipper for sale

    Mwaka wa kutengenezwa 1997 Aina ya Injini 4D35 Uwezo wa Injini 4,210cc Uwezo wa gari Tani 2 Manual transmission Umbali uliotembewa 149,000 km ACCESSORIES AC Power Window Power Steering Bei Tshs. 51,000,000 (negotiable) Mawasiliano 0752 484 225 Mahali: MWANZA NB. HAKUNA DALALI
  8. Harry Barry

    Jinsi ya kuendesha Biashara ya canter

    Habari wana jf Kama kichwa kinavyojieleza mimi ni kijana mjasiliamali nimekua nikifanya biashara tofauti tofauti kwa muda sasa na kila siku nawaza kufanya kitu kipya Nipo hapa kwaajili ya msaada wenu wana jf kuhakikisha nafikia malengo yangu kama mjasiriamali Hivyo basi nimefanikiwa kununua...
  9. Edwardo Ommy

    Canter for sale..

    Wakuu ipo gari aina ya Canter inauzwa kwa bei ya M18 ikiwa bado ni nzima kabisa na haina udalali wowote, karibuni My number. 0714 664 520
  10. Edwardo Ommy

    Car4Sale Gari aina ya Canter inauzwa

    Wakuu ipo gari aina ya Canter inauzwa kwa bei ya M18 ikiwa bado ni nzima kabisa..na haina udalali wowote karibuni My number. 0714 664 520
  11. WA MAMNDENII

    Car4Sale Mitsubishi Canter inauzwa

    Condition: Used Eng Type : 4D33D YOM : 1993 Eng CC : 3660 Location : Mbezi Jogoo , Dsm Price: TZS 25M Contact : 0788 907760
  12. G

    Nahitaji Canter Tipper (dump a.k.a inayobenua)

    Maelezo zaidi Engine 4D (33-35) Spring iwe juu Gari iwe kwenye hali nzuri. Bei 19m (negotiable kidogo) Check me pm
  13. T

    Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

    UNAWEZA UKANUNUA KWA CASH AU MKOPO. TARATIBU ZA KUPATA MKOPO WA GARI NI KWA CHASIS NUMBER TU. ●mteja utalipa 50%ya pesa kama utangulizi ●Gari lazima ikatwe bima kubwa&car track(gprs)ndio Dhamana yetu ●Muda wamkopo kuanzia miezi3,6,9,12 kwa magari madogo ama binafsi,kwa magari ya biashara kama...
  14. Digxam-TZ

    Uliza Chochote Kuhusu Magari ya Mitsubishis Fuso Canter Pamoja na Spare zake

    Kama unatafuta Mitsubishi fuso au Canter gari madogo , pamoja na Spare zake kutoka Japana wasiliana nasi kupitiana namba hii chini pia Spare za mtumba zenye ubora zipo aina ya Fuso na Canter utapata . Tuambie aina ya Spare unayotaka au Gari gani unataka nikupe bei serous buyers wasiliana...
  15. AUTOMASI COMPANY LIMITED

    Car4Sale Karibu automasi uagize nasi gari lenye ubora kwa gharama nafuu

    KARIBU AUTOMASI UAGIZE NASI GARI LENYE UBORA KWA GHARAMA NAFUU ************** ♻️ High Quality , Reliable, and Speed ♻️ *************** 🔅VEHICLE DESCRIPTION Make : TOYOTA Model ...
  16. kisumbusi

    Wadau naomba kujua ni wapi hapa Daslam wanatengeneza Bomba frem ya canter

    Wadau naomba kujua ni wapi kwa Daslam au Mwanza wanaunda frem ya 'Bomba ya canter
  17. E

    Car4Sale Canter imeshuka bei

    MITSUBISH CANTER INAUZWA DAR ES SALAAM. Model ya 2001, Tani 2, no BMU, Diesel, injini 4M51A, Ipo katika hali nzuri/inambea. Haina changamoto. Melewano yapo kidogo. Gari ipo katika hali nzuri sana. Ipo Upanga njoo uikague. Bei sasa ni 15 MIL. Mawasiliano +255784225000.
  18. B

    Car4Sale Mitsubish Canter inauzwa

    TRUCK INA SIFA ZIFUATAZO Mwaka wa kutengenezwa 2001 Aina ya Injini 4D33 Uwezo wa Injini 4,210cc Mileage 224,210 Km Uwezo wa gari Tani 2 Manual transmission Nyeupe Spring juu ACCESSORIES AC, Power Window, Power Steering, Radio Taili zote mpya, imelipiwa mapato, Bima pamoja na SUMATRA/LATRA...
  19. B

    Car4Sale Mitsubishi Canter inauzwa

    TRUCK INA SIFA ZIFUATAZO Mwaka wa kutengenezwa 2001 Aina ya Injini 4D33 Uwezo wa Injini 4,210cc Mileage 307,021 Km Uwezo wa gari Tani 2 Manual transmission Nyeupe ACCESSORIES AC, Power Window, Power Steering Taili zote mpya, imelipiwa mapato, Bima pamoja na SUMATRA/LATRA Imenunuliwa Japan, July...
  20. S

    Natafuta Canter ya kubebea mizigo yangu kwa wiki Tsh. 200,000 Arusha

    Natafuta canter nibebee mizigo yangu Arusha mjini, dereva wangu, mafuta yangu kwa wiki nalipa laki mbili kwa mmiliki wa gari kazi ni endelevu. Mwenyenalo tuwasiliane 0686457546
Back
Top Bottom