cape town

Cape Town (Afrikaans: Kaapstad [ˈkɑːpstat]; Xhosa: iKapa😉 is the second most populous city in South Africa after Johannesburg and also the legislative capital of South Africa. Colloquially named the Mother City, it is the largest city of the Western Cape province and forms part of the City of Cape Town metropolitan municipality. The Parliament of South Africa sits in Cape Town. The other two capitals are located in Pretoria (the executive capital where the Presidency is based) and Bloemfontein (the judicial capital where the Supreme Court of Appeal is located). The city is known for its harbour, for its natural setting in the Cape Floristic Region, and for landmarks such as Table Mountain and Cape Point. Cape Town is home to 64% of the Western Cape's population. The city was named the World Design Capital for 2014 by the International Council of Societies of Industrial Design.In 2014, Cape Town was named the best place in the world to visit by both The New York Times and The Daily Telegraph. Cape Town was one of the host cities of the tournaments of 1995 Rugby World Cup and 2010 FIFA World Cup.
Located on the shore of Table Bay, Cape Town, as the oldest urban area in South Africa, was developed by the United East India Company (VOC) as a supply station for Dutch ships sailing to East Africa, India, and the Far East. Jan van Riebeeck's arrival on 6 April 1652 established VOC Cape Colony, the first permanent European settlement in South Africa. Cape Town outgrew its original purpose as the first European outpost at the Castle of Good Hope, becoming the economic and cultural hub of the Cape Colony. Until the Witwatersrand Gold Rush and the development of Johannesburg, Cape Town was the largest city in South Africa.

View More On Wikipedia.org
  1. Cape Town Yatajwa kama mji namba 1 kwa ubora Duniani kutembelea mwaka 2025

    Mwaka 2025 kama una mpango wa kusafiri nje ya nchi na kusafisha macho basi Cape Town imetajwa kama mji namba 1 kwa ubora kutembelea 2025. Jarida maarufu la Time Out limeorodhesha miji 50 bora zaidi ya kutembelea kwa mpangilio wa ubora, Cape Town imeshika namba 1, Dubai 24. Unaweza kusoma...
  2. A

    Wapi panafaa kwa mapumziko kati ya Cape Town au Johannesburg?

    Wakuu baada ya kutoka Dubai mwezi wa 6 Sasa nataka Kwa mara nyingine nikatulize akili South Africa kama wiki 2 hivi wapi panafaa Kwa mapumziko katika hiyo miji miwili niliyoitaja? Johannesburg au Cape Town?
  3. A

    Ndege gani Cheap (Dar -Cape Town)?

    Wakuu nataka nikapumzike Cape Town kama siku 3 hivi. Ndege gani nitapata ticket cheap? Nimechek Rwandair, Ethiopian na Kenya Airways Direct flight to CPT ni maumivu matupu. Eg. KQ (Dar-CPT-Dar) 889 USD, Dep: 11/05 Ret: 14/05
  4. Mamelody yaibua utata tena dhdi ya Cape Town Spurs.

    Pichani ni mchezaji wa Cape Town spurs akimchezea rafu mshambuliaji wa Mamelodi Sundowns Peter Shalulile nje ya box ambapo jambo lililostua wengi na kuzua taharuki ni kwamba mwamuzi wa mchezo huo aliamuru penalti iliyowapa ushindi wa goli 1 Mamelodi Sundowns. Penalti hiyo imekuwa gumzo kubwa...
  5. Viongozi fisadi kununua nyumba Dubai, Cape Town watajwe- Kingwangala

    Kigwangalla ahoji viongozi wa umma walionunua nyumba hivi karibuni maeneo ya Masaki na Oyesterbay zenye thamani ya mpaka dola milioni 6, huku akitaja wengine wana mali za namna hiyo sehemu kama Dubai. Kigwangalla anahoji kiongozi wa umma asiyefanya biashara anatolea wapi utajiri wa namna hiyo...
  6. Cape Town, Afrika Kusini ingekuwa Tanzania, yote ingekuwa ni Hifadhi

    Nimebahatika kutembelea miji mingi Duniani iliyoendelea nilichojifunza ni kwamba wazungu hawataki sisi tuendelee kwani wanachokifanya kwao kwetu wanakizuia, mifano mingi kuanzia kutenga maelfu ya square kilometers kwa ajili ya wanyama na “kutunza na kuhifadhi nature” mpaka uchafuzi wa mazingira...
  7. Afrika Kusini: Watu watano wauawa katika ghasia za mgomo wa taksi Cape Town

    Mmmoja wa waliopoteza maisha katika mgomo huo unaohusisha maandamano ni raia wa Uingereza mwenye umri wa miaka 40 ambaye familia yake inaungwa mkono na Ofisi ya Mambo ya Nje ya Uingereza. Maderava wa taksi aliitisha mgomo huo wakidai kuna mbinu nzito zinazofanywa na mamlaka za kuharibu biashara...
  8. Ubaguzi wa rangi Tanzania ndani ya Cape town fish market

    Pameripotiwa matukio kadhaa ya kibagudhi yanayoendelea pale Cape Town Fish Market na mbaya zaidi wanaobagua watanzania ni watanzania juu ya ngozi nyeupe, kama msipodhibiti hii hali basi haya matukio yataenda yakihama sehemu zingine!! Ama tutafikia kugawanywa na mtaani upande wa ngozi nyeupe...
  9. B

    Dar es Salaam to Cape Town with Public Transport - 1999

    MWAKA 1999 SAFARI KUTOKA KILWA DSM KIGOMA ZAMBIA HADI SOUTH AFRICA Kilwa mpaka DSM kwa usafiri wa basi halafu Reli ya Kati urefu kilometa 1200 Dsm Kigoma, lake Tanganyika , MV Mwongozo, Tanzania DR Congo, Burundi na Zambia nchi hizi zina fukwe za ziwa Tanganyika pia mipaka yake ipo ndani ya...
  10. Afrika Kusini: Mtanzania atuhumiwa kuchoma moto Chuo Kikuu cha Cape town

    Habari za Mchana Wakubwa,Kuna news inatembea inamuhusisha Mtanzania na Uchomaji moto wa University of Cape town. ===== Frederick Mhangazo has appeared in CPT’s Regional Court on Tuesday, accused of starting the Cape Town fires that destroyed almost 600 hectares of land and several local...
  11. Hyatt Yatangaza kufungua Hoteli Mpya huko Cape Town, kuna watu kama nawaona

    Inaonekana South Afrika panalipa! Jamaa wamefungua hoteli yao ya pili kwenye Jiji la Jo'berg. Sisi tunaotarajia kuanza kusafiri safiri lazima tukatesti mitambo kuona yaliyomo kama yamo kweli! Kiukweli inapendeza kuona uwezekezaji mkubwa hivi unafanyika katika sekta hii ya utalii na ukarimu...
  12. Dar es Salaam ni miongoni mwa majiji muhimu na ya kuvutia sana Afrika nzima

    Katika episode hii ambayo imeangazia 'MEGA CITIES' ama ukipenda majiji ambayo yako developed na yenye mvuto. Jiji la Dar ni miongoni mwa majiji haya 7. itazame video yenyewe unipee maoni yako. DISCLAIMER: Maelezo yamefanywa kwa lugha ya Kiingereza 👇 The Most Beautiful & Developed African mega...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…