capt. john komba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Capt. John Komba bado hana mbadala wake kwenye nyimbo za hamasa hajapatikana na pengine itachukua miaka mingi kutokea kama yeye

    Huo ndo ukweli wakuu au mnasemaje? Ukiondoa mambo ya itikadi ya vyama huyu mwanamume alikuwa anaimba aisee acha kabisa. Skiza kitu hiki hapa Sasa kumekucha 👇👇 https://youtu.be/MAP-WTEdm4g?si=6iTQeI7gRat83lYd
  2. Wimbo wa 'Ni wajibu Kumshukuru Baba Nyerere' wa Hayati Capt. John Komba, hauchujagi

    Wimbo wa NI WAJIBU KUMShuKURU BABA NYERERE WA HAYATI Capt. JOHN KOMBA, HAUCHUJAGI Tukielekea katika kuadhimisha kumbukizi ya maisha, kazi na kifo cha hayati Baba wa Taifa Oct 14ijayo, Hebu pata muda kidogo sikiliza wimbo huu muhimu sana usiochuja, ulio jaa vionjo vyenye hisia kali, tafakari na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…