Simba imeondoka leo kuelekea Morocco katika mtanange wa kufa na kupona dhidi ya Wydad AC. Katika safari hiyo, Captain wa Simba John Bocco ameachwa nyumbani. Hii ni safari ya pili mfululizo ambapo Bocco ameachwa katika safari wakati katika uwanja wa mazoezi anaonekana. Safari ya kwanza ilikuwa...