car for sale

  1. getemsales

    Car4Sale Suzuki Carry kirikuu

    Nauza suzuki carry kirikuu ipo vizuri haina tatizo lolote bei 5,000,000/= Dar es salaam temeke kwa mawasiliano 0742100444
  2. Daniel Chikaka

    Car4Sale Subaru Forester for sale

    Nauza gari yangu aina ya Subaru Forester(Non turbo) ya mwaka 2011. Bei 15m. Gari ipo Dar es Salaam, haina tatizo lolote. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane: 0752357722
  3. P

    Car4Sale Toyota Land Cruiser Lexus HDJ81 ya Mwaka 1996 inauzwa

    Gari ya Toyota Land Cruiser Lexus HDJ81 ya Mwaka 1996 - Inayo Turbo na Inatumia Diesel, Mmiliki wa Kwanza, Hali Nzuri. Asking Price: TZS 28,000,000 Muhtasari: Hapa ni gari ya Toyota Land Cruiser Lexus LX 450 LC/ 80 ya mwaka 1996, inayotumia turbo na mafuta ya diesel. Ni stesheni wageni yenye...
Back
Top Bottom