Septemba 7 mwaka huu, Cardi B na Offset waliungana kwa pamoja kumkaribisha ulimwenguni mtoto wao wa Tatu pamoja.
Cardi B ame-share nasi picha pamoja na video kwenye akaunti yake ya instagram, mtoto huyo ni wa Kike na anakuwa wa tatu akiwafuata; Kulture Kiari Cephus (6) na Wave Set Cephus...