carpet

  1. chizcom

    Kanye West na mkewe kwenye red carpet za Grammy

  2. ndege JOHN

    Hivi kweli serikali inashindwa kutenga billion 20 kuweka carpet viwanja vyote mikoa yote

    Kuna ladha tunakosa naangalia hapa game la mashujaa kigoma ila carpet ni carpet wakuu. Hivyo napendekeza serikali itenge billion 1 kila mkoa ambao kuna uwanja wa mpira papigwe carpet nyasi bandia
  3. Roving Journalist

    Rais Samia apokea taarifa ya Mradi wa Skimu ya Umwagiliaji wilaya ya Nzega mkoani Tabora, leo tarehe 18, Oktoba, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea taarifa ya Mradi wa Skimu ya Umwagiliaji wilaya ya Nzega mkoani Tabora leo tarehe 18, Oktoba, 2023. https://www.youtube.com/live/PLLdAPmreBQ?si=Je1yaQd5Nk5_cf-o
  4. AfroCodes

    INAUZWA Carpet linauzwa

    Ni saivi ya kujaza chumba, apo imekunjwa, conditions yake ni nzuri kama unavyoiona. Nahitaji 50 tu chap Lipo kigamboni 0738 862 877
Back
Top Bottom