Kwa kasi ya ukuaji wa teknolojia kwenye tasnia ya magari, self driving cars sio muda itakua kitu cha kawaida.
Kwa nchi za wenzetu, wameshajipanga kwa ilo na kua na sheria na miongozo mbalimbali ya self driving cars.
Wana sheria zitakazo solve migogoro endapo itatokea ajali, kutakua na...
Wakuu,
Title yajieleza.
Nahitaji ObdII Scanner ambayo ni more portable na simple kutumia for personal use.
Targeted vehicles ni Japanese, i.e Kluger, Raum, Ist, Premio, Wish, Harrier, etc.
Iwe corded or wireless. Moderate price.
Nichukue brand gani?
Juzi nilikuwa na kazi moja kwenye maeneo mbalimbali ndani ya Jiji la Arusha siku nzima. Sasa, kutokana na msongamano unaotokana na ongezeko kubwa la magari ilibidi nijipe dual-work na kufanya simple observational cross sectional study (Utafiti mdogo wa kutazama katika wakati mahususi).
Lengo...
Wakuu, ni EV nyingine kutoka China.
Kuna hii kampuni inaitwa Avatr Technologies, hadi sasa wana model mbili tu za magari, ya kwanza ni Avatr 11 na ya pili ndio hii imeingia sokoni sasa inaitwa Avatr 12. Inasomeka Avatr one two!
Hii ni executive hatchback, iliyokua designed na bwana mkubwa...
Magari yanayojiendesha (self-driving cars) ni magari yanayotumia teknolojia za hali ya juu kama vile akili bandia (AI), sensa, na urambazaji wa GPS ili kujiongoza bila hitaji la dereva. Haya ni baadhi ya faida na hasara zinazohusiana na magari haya:
Faida za Magari Yanayojiendesha
1...
Wakuu kwema. Kusave muda, hii ni kwa wapenda Hybrid na Electric Cars.
Haya, Zero Emission Vehicle Mandate (ZEV Mandate) ni "sheria" waliojiwekea nchi za US, EU na China ambapo wana lazimisha makampuni yanayotengeneza au kuingiza magari mapya kwenye izo nchi yatransform kutoka kwenye Internal...
I have noticed that there are mushrooms of vehicles written "special for hire). I don't know what wrong especially in these recent days unlike nyuma kidogo.
What I know is that this is an indicator of people trying to convert theirs luxuries into business and therefore an indicator of economic...
MOLAS Autohub ni duka la rejareja la ndani ambalo huhudumia jamii ya karibu kuhusu vipuri na pia kutoa huduma za kuagiza mtandaoni. Tuna utaalam wa kuuza Sehemu za Magari za Uropa kuanzia Mwili, Injini, Kusimamishwa, Mfumo wa Mafuta, Mfumo wa Radiator, Breki na Vichungi n.k. Hivi ni vya Genuine...
Did you had any idea that investment accounts and a culture of saving impact mental, conceptive and sexual strength of the young?<br><br>
I surmise not. As per Youngsters and Youth Money Worldwide, concentrates on directed in Ghana, India, Uganda and Kenya propose that there is a positive...
Siku za hivi karibuni nimeona watu wakiiponda stendi ya mabasi ya Bukoba kuwa ni stendi duni, nakubaliana nao ila nawakumbusha pia kuna kitu hawakijui au wanakijua ila hawataki kusema, sasa leo nitakisema hapa ili kumaliza utata.
Iko hivi, sisi wahaya tunapenda kutumia private cars au ndege...
Habari Wanajamvi,
Naomba kufahamu magari ya heshima ambayo ukiendesha unaonekana ni diplomats au mtu wa heshima.
NB: Kuna gari ukiendesha tu unaonekana muhuni
Habari wakuu, Nina diagnosis scan tool aina ya LAFOCH ML-168 kwa ajili ya Magari ya Ulaya mf: BMW, Benz, Audi na Volkswagen, au gari yoyote Kama Nissan, Toyota ambayo ni imported from Europe
Kifaa hiki kinamfaa mtu kwenye gari lake binafsi ili akipata changamoto aweze kutrace tatizo mwenyewe...
Habari zenu wakuu,
Nahitaji kukodi gari zifuatazo, kwa ajili ya mizunguko ya hapa na pale ndani ya jiji la Dar es Salaam.
Yoyote mwenye moja kati ya hizi gari au zote kwa pamoja naomba aipost gari hapa tujadili au anicheki kupitia +255627315218 niione gari, kisha tuanze jadili gharama na...
Aisee usijichanganye kununua Any European cars Kama hela zenyewe nazo za kuunga. Nilinunua kwa madalali pale Biafra BMW X3 mwaka 2021. Mpaka Leo ukiacha service ya kawaida nimetumia takribani 8m ku-maintain, mara oil leakage sijui Umeme sijui nn yaan ujinga mwingi. Nilitaka niiuze ikamfie mluga...
Most of you are aware that LATRA issued a Tariff Notice Order No. LATRA/01/2022 on 14th March 2022.
Despite the unfavourable impact of the tariff and commission cap directives on ride-hailing companies, Bolt has continued offering ride-hailing services to demonstrate goodwill and to allow due...
Nimetoka sehemu na gari yangu, kufika home nacheki tairi ya nyuma kushoto, dah yote imelowa oil
Kumwita fundi anasema ni oil ya diff, seal ya ekseli imekufa.
Nikicheki mfukoni, mambo yako ovyo vibaya sana, fundi akatoa oil seal, kwenda dukani wananiambia sh 5000/(elfu tano), nilijua labda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.