Nimetoka sehemu na gari yangu, kufika home nacheki tairi ya nyuma kushoto, dah yote imelowa oil
Kumwita fundi anasema ni oil ya diff, seal ya ekseli imekufa.
Nikicheki mfukoni, mambo yako ovyo vibaya sana, fundi akatoa oil seal, kwenda dukani wananiambia sh 5000/(elfu tano), nilijua labda...