Je, umeshawahi japo siku moja moja kukaa na wanao na kuangalia cartoon na kuona yaliyomo?
Kuna jamaa mmoja wa karibu sana aliniambia siku moja amekaa home amechill na wanae wanaangalia katuni, akaona matukio ya vikatuni vya kiume vinakisiana, kwakweli anasema alishtuka sana kuona maudhui hayo...