Ukizungumzia mastriker wenye umri mdogo ulaya na dunian kwa ujumla huwezi acha kumataja huyu dogo anaecheka na nyavu kila siku dogo hallanda
Kwa watu wa man untd miyoni mwao watakua wanajilaumu kutokana na kumkosa huyu bwana mdogo
Tangu ajiunge na Dortmund huyu dogo adi sasa kacheza mechi sita...