Jina la kiungo wa Man United, Casemiro limekosewa kuandikwa na kutamkwa kwa muda mrefu, lakini mchezaji mwenyewe ameacha iwe hivyo akiamini kukosewa kwa jina kunamfanya acheze vizuri uwanjani.
Anasema “Nilipoanza kucheza soka Sao Paulo, kuna mechi walikosea kuandika jina langu kwenye jezi...