cbe

College of Business Education (CBE): A prominent higher learning institution in Tanzania with its main campus right in Dar es Salaam (along with campuses in Dodoma, Mwanza, and Mbeya). It offers programs in business administration, accountancy, marketing, and procurement.
  1. JamiiForums Tanzania CAFCL 24/25 YANGA πŸ†šοΈ CBE

    Ligi Ya mabingwa Barani Africa kuendelea Leo Tena ambapo Wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye michuano hiyo YANGA SC watashuka dimbani majira Ya saa 2 usiku dhidi ya CBE ya Ethiopia. Mkondo wa kwanza ulimalizika kwa Yanga sc kushinda Goli 1 ambalo lilifungwa na Prince Dube⚽️
  2. JamiiForums Tanzania Hiki hapa kikosi cha Yanga SC kitakacho peleka kilio kwa CBE SA. Klabu Bingwa Afrika pale visiwani Zanzibar

    Leo naona hakutokuwa na mabadiliko makubwa sana katika mchezo wa ligi ya Mabingwa Afrika kati ya wanyeji Yanga SC dhidi ya wageni wao CBE SA ya Ethopia. Mchezo huu utachezwa katika dimba la New Amaan Complex pale visiwani Zanzibar. Sasa kikosi changu ninachokiona kitakacho anza leo ni kama...
  3. JamiiForums Tanzania FT: Young Africans SC 6-0 CBE SA | CAFCL | 2nd Preliminary round | 2nd Leg | Amani Stadium | 21-09-204

    Match Day CAF Champion League Young Africans SC VS CBE SA 2nd Preliminary round 2nd Leg Stadium: New Amani Stadium Zanzibar Date: 21-09-204 Time 8:30pm EAT Soma Pia: FT: CBE SA 0-1 Yanga SC |CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Abebe Bikila Stadium | 14.09.2024...
  4. JamiiForums Tanzania Napendekeza kabla ya match kuaza kati ya Yanga na CBE na ile ya Simba na Al Ahly zisimame kwa dk1 kama ishara ya kuwahenzi waTz wenzetu waliouwawa.

    Kama title inavojidadavua hapo juu:, Kuna haja ya kuwaonyesha Maharamia kupitia michezo hususani soka, ingawa na mingine hipo haja ya kufanya hivo pia kuwa tunapinga mauwaji yanayoendelea kila kukicha nchini, nazani kupitia soka na machezo mingine, itakua tumefikisha ujumbe kwa hawa nyonya damu...
  5. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wangu wa mechi ya Yanga vs CBE ya Ethiopia

    UCHAMBUZI WA Comrade Ally Maftah, DAR YOUNG AFRICAN VA COMMERCIAL BANK OF ETHIOPIA SPORT ASSOCIATION (CBE SA) Na Comrade Ally Maftah PACOME WA MCHONGO CBE SA ( Comercial Bank of Ethiopia Sport Association ilianzishwa mwaka 1982 pale Adis Abab Ethiopia, ni timu ambayo inashikilia kombe la...
  6. JamiiForums Tanzania CAFCL | Kikosi cha Yanga SC kinachoanza dhidi ya CBE SA FC

    Kikosi cha Yanga SC kitashuka uwanjani kupambana na CBE SA FC katika mechi ya mkondo wa kwanza wa raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League 2024/2025) leo, Jumamosi, Septemba 14, 2024. Mchezo huu utaanza kuanzia Saa 9:00 alasiri. Macho ya Watanzania yataelekezwa jijini...
  7. JamiiForums Tanzania Kikosi cha Yanga kitakachoanza leo dhidi ya CBE SA. Klabu Bingwa Afrika hiki hapa

    Yanga SC leo ipo uwanjani huko Nchini Ethopia kuchezo mchezo wa klabu Bingwa Afrika dhidi ya CBE SA ya huko huko Ethopia. Mchezo huu utapigwa mishale ya saa 15:00 Alasiri Kikosi ambacho natarajia kukiona kikianza leo ni kama ifuatavyo -Dirra -Yao -Bakari Nondo -Job -Bacca -Aucho -Pacome -Aziz...
  8. JamiiForums Tanzania FT: CBE SA 0-1 Yanga SC |CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Abebe Bikila Stadium | 14.09.2024

    πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† #CAFCL ⚽️ Cbe SA πŸ†š Yanga SC πŸ“† 14.09.2024 🏟 Abebe Bikila Stadium πŸ•– 15:00 Alasiri Kikosi kinachoanza dhidi ya CBE SA FC mpira umeanza dakika ya 2 dube anakosa nafasi ya wazi dakika ya 15 pacome anafanya mashambulizi dakika ya 25 0-0 dakika ya 29 cbe wanakosa nafasi ya wazi...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mastaa yanga watua Ethiopia kukipiga na CBE

    Kikosi cha Yanga kwa kundi la pili limepaa leo alifajiri kuifuata CBE SA ya Ethiopia kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza wa raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Wachezaji walioondoka leo ni wale ambao walikuwa hawana majukumu kwenye timu zao za taifa, wakati mastaa kama Djigui Diarra...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha CBE Dar es Salaam hakajapeleka matokeo yangu NACTEVET ili niombe AVN

    Mimi ni mwanafunzi nimemaliza Diploma katika chuo cha CBE, changamoto yangu kubwa hawataki kupeleka matokeo yangu NACTE ili niweze kuapply AVN namba niweze kuendelea na degree. Nimejaribu kwenda mara nyingi lakini jibu nalojibiwa tunafanyia kazi, sasa ni miezi miwili nahangaika maana mimi ni...
  11. JamiiForums Tanzania ICT Officer (Webmaster) at CBE

    JOB ADVERTISEMENT (INTERNS) The College of Business Education was established by the College of Business Education Act CAP 315 R.E. 2002 (CBE Act). It is a Public Higher Learning Institution which provides Teaching, Research and Consultancy Services in the fields of Accountancy, Procurement and...
  12. JamiiForums Tanzania Various Posts at CBE March, 2024

    he College of Business Education was established by the College of Business Education Act CAP 315 R.E. 2002 (CBE Act). It is a Public Higher Learning Institution which provides Teaching, Research and Consultancy Services in the fields of Accountancy, Procurement and Supplies Management...
  13. JamiiForums Tanzania Assistant Nursing Officer II (4 Posts) at CBE November, 2023

    Position: Assistant Nursing Officer II (4 Posts) Qualifications and Experience: Holder of Diploma in one of the following fields; Nursing, Midwifery or equivalent qualifications from recognized institutions and has been registered with Tanzania Nurses and Midwives Council. Duties and...
  14. JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)

    TEUZI WA MKUU WA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA - CΠ’Π• 21 Novemba, 2023, DODOMA Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.), kwa Mamlaka aliyo nayo kwa mujibu wa Sheria ya Chuo cha Elimu ya Biashara Sura 315 na marekebisho yake ya mwaka 2020 kifungu 14(6B) (1) amemteua Prof. Edda...
  15. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kigahe Afanya Ziara Chuo cha CBE & TRIDO

    NAIBU WAZIRI KIGAHE AFANYA ZIARA CHUO CHA CBE & TRIDO Naibu Waziri Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe ameridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa jengo la Metrology Annex unaoendelea katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kampasi ya Dar es Salaam. Hayo yamebainishwa wakati wa ziara ya...
  16. JamiiForums Tanzania Driver II (3 Posts) at CBE

    Position: Driver II (3 Posts) Qualifications and Experience Holder of Secondary Education Certificate with passes in Kiswahili and English having a valid Driving License Class C or E and one-year Basic Driving Course plus driving experience of at least one year without causing accidents...
  17. JamiiForums Tanzania ICT Officer II (System Security) at CBE

    Position: ICT Officer II (System Security) Qualifications and Experience Holder of Bachelor Degree in one of the following fields; Computer Science, Information Systems, Information Technology, Computer Engineering, Telecommunication, Electronics or equivalent computer qualifications from...
  18. JamiiForums Tanzania ICT Officer II (Programming) at CBE

    Position: ICT Officer II (Programming) Duties and Responsibilities Software System Developers: To assist in capturing user Customer Requirement Specifications- CRS; To perform systems analysis and design; To implement software systems (Write and document code); To perform systems testing...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri: Nimekosea kulipia control ya malipo ya mwanafunzi wa Chuo cha CBE

    Habari za Leo wadau, Mimi ni Wakala. Leo dada wa kazini amekosea kulipia control number ambayo ni ada ya mwanafunzi wa CBE akamlipia mwanafunzi mwingine wa CBE ambae sio alietoa pesa. Naomba kuuliza hatua za kufuata Ili nitatue changamoto hii, naomba kuwasilisha. MREJESHO: Nilifuta ushauri wa...
  20. JamiiForums Tanzania Chuo Cha Elimu ya Biashara (CBE) kuingia mkataba na Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) Kufundisha wanafunzi

    Utangulizi Chuo Cha Elimu Ya Biashara (CBE) kila baada ya miaka 5 inafanya Utafiti wa soko la Ajira ili kuboresha mitaala yake. Mwaka jana Mwezi March, 2022 CBE kilifanya Utafiti kwa Wahitimu waliomaliza chuoni apo. Matokeo ya Utafiti 59.5% ya Wahitimu wameajiriwa katika Taasisi za Umma na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…