Wanabodi habari zenu ,unakumbuka nini ,ulikuwa unajisikiaje ,ulikuwa wapi tulipokuwa na chombo kimoja cha kupasha habari Tanzania ,Radio na TV ambayo ilikuwa RADIO TANZANIA DAR ES SALAAM (RTD) na kwa upande wa TV iliitwa Television ya Taifa (TVT).
Mfumo huu haukutoa fusa kabisa ya kuwa na...