ccm asilia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je wajua: Siasa za CCM & CHADEMA huamua bei elekezi ya vitu hivi?

    Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, sisi kama wananchi tunayo mengi ya kujifunza. Tunayo haja ya kuchuja sera zao kwa upana kwa maana wao hawa wanasiasa ndio huamua bei za vitu tunavyohitaji katika maisha ya kila siku. Leo nakuchapishia picha ya vyombo vya moto ambavyo wanasiasa...
  2. KURA : CCM kuelekea 2025, Twende na Form 1 Au multiple Form ?

    Piga kura Yako . Je unakubali Twende na mama TU mpaka 2030 and may be possible up to 2035. Au wewe unapendekeza ccm I practice democracy kwa kugawa Forms kwa wagombea yeyote CCM mwenye sifa ya kuiongoza Tanzania . Wenu katika ujenzi wa Taifa hili changa
  3. Tarehe ya kuzaliwa kwa Muhammad ni suala linalotokana zaidI na masimulizI ya kihistoria na ya kidini, kuliko ushahidi wa kisayansi

    Chanzo kikuu cha taarifa kuhusu maisha ya Muhammad ni Hadith (masimulizi ya matendo na maneno yake), pamoja na Sirah (wasifu wake) zilizoandikwa baada ya kifo chake. Hakuna ushahidi wa moja kwa moja wa kisayansi, kama vile maandiko ya kisasa ya kihistoria au vielelezo vya kianthropolojia...
  4. BRELA: Hili tatizo la kufungua accounts (ORS), ni mimi tu nakumbana nazo au na nyie Pia

    Nawasalimu Kwa USD dollars. Tokea week iliyo pita nilikuwa nataka kusajili AU Ku register name of my company lakin Shida inakuja kwenye ufanisi wa system Yao ya (ORS). Yaani inazingua mno, kuna Muda inashindwa Hata Ku fetch NIDA informations za mfungua company. Najua humu JF kuna wadau...
  5. Kama 70% ya Umeme Wa Tanesco ni wa Gesi, Mbona Maji yanasingiziwa sana?

    “Kwa wastani umeme unaozalishwa kwa kutumia gesi asilia ni takribani asilimia 65 mpaka 70 ya umeme wote unaozalishwa nchini. Wataalam wanatuambia kwamba kama tusingekuwa na gesi asilia, tatizo la umeme nchini lingekuwa kubwa zaidi. Kwahiyo, tushukuru sana Mungu kutuletea rasilimali hii ya gesi...
  6. SoC02 Uongozi sio umungu mtu

    Dhana ya uongozi katika nchi nyingi za Afrika,imekuwa ikitafsiriwa na kumaanishwa tofauti na dhana halisi. Uongozi umekuwa ukichukuliwa kama daraja la kujitwalia ukwasi(utajiri),utukufu(umungu Mtu) kwa miaka mingi tangia kipindi cha mkoloni hata baada ya uhuru. Dhana hii potofu ya uongozi...
  7. Ukali wa Rais Samia kifo rasmi cha CCM Asilia na CCM Chotara, CCM Chawa nao hawatafanikiwa

    Wana JF Baada ya Mama Yetu Rais na Chief kutema nyongo kwa makundi yanayoendelea kuandaa kuvuruga mipango yake ya sasa ya kuboresha nchi na kuondoa makondokonda makubwa pamoja na vidonda vilivyoachwa na serikali tangulizi, nupende tu kusema basi kifo rasmi cha Ccm asilia wanaojinasibu kama...
  8. Tujikumbushe kidogo Dkt. Karl Peters na Mikataba ya Kilaghai

    Jumamosi ya Novemba 15, 1884, Kansela wa Ujerumani, Otto von Bismarck, aliitisha mkutano mkubwa kwa ajili ya kuligawa Bara la Afrika. Mkutano huo uliofahamika kama Berlin Conference, ulifanyika kwenye makazi yake huko Wilhelmstrasse, Berlin. Mkutano huo ulilenga katika kuwaepusha wababe wa...
  9. MATAGA kuweni watulivu mitandaoni, sasa ni zamu ya Asilia

    Habari ndugu zanguni, Nimeona mijadala mingi sana mitandaoni ambayo ukiangalia kwa wingi ni wale ndugu zetu ambao wamekuwa wakikosoa mienendo ya Rais wetu Mama Samia katika ziara yake nchini Kenya. Lakini sisi watu wa kufikiria mbali tumeona kumbe watu wa mwendazake wamekuwa wanapinga mengi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…