ccm bukoba vijijini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Rais Samia aongoza kikao cha Halmashauri kuu ya CCM Taifa, Juni 30, 2024

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), kilichokutana jijini Dar Es Salaam leo tarehe 30 Juni 2024. CCM Imara Vitendo Vina Sauti Tunaendelea na Mama Kazi Iendelee
  2. B

    Mwenyekiti wa UVCCM Bukoba vijijini na Bwanku waongoza mazoezi makubwa ya usafi Katerero

    📍Wafanya Usafi Soko la Kemondo. Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Bukoba Vijijini chini ya Mwenyekiti wake Ndugu Andrew Byera kwa kushirikiana na Afisa Tarafa wa Tarafa ya Katerero Ndugu Bwanku M Bwanku Jumamosi Juni 08, 2024 wameongoza kundi kubwa la wananchi wa Kemondo...
Back
Top Bottom