Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), kilichokutana jijini Dar Es Salaam leo tarehe 30 Juni 2024.
CCM Imara
Vitendo Vina Sauti
Tunaendelea na Mama
Kazi Iendelee
📍Wafanya Usafi Soko la Kemondo.
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Bukoba Vijijini chini ya Mwenyekiti wake Ndugu Andrew Byera kwa kushirikiana na Afisa Tarafa wa Tarafa ya Katerero Ndugu Bwanku M Bwanku Jumamosi Juni 08, 2024 wameongoza kundi kubwa la wananchi wa Kemondo...