Mgeni rasmi ni Rais Jakaya kikwete, namuona Ali shein, Kinana na Makamu wa rais Billal.
Rais kikwete anatoa hotuba fupi na kuwashukuru watanzania na wana CCM
Hitilafu inatokea mic zinagoma wanabaki kushangaa.
Bado anazungumzia jengo jipya na kuhusu pia niya ya kukodisha jengo hilo kwa...