Mimi nikiwa mtumishi wa Mungu ninawatakia kila la heri CHADEMA katika uchaguzi wao wa viongozi wa ngazi za juu wa leo tarehe 21/01/2025. Ninawatakia uchaguzi wenye amani, huru na haki katika kuwapata viongozi hao.
"chama legelege huzaa serikali legelege"
Mungu ibariki Tanzania, ibariki...
Machawa humu ndani wanasifia kila kukicha kwamba ccm ni chama imara sana, ni kwa nini wanatumia mipango myeusi myeusi kushinda chaguzi!?
Maana walisema yaliyotokea 2019 hayatatokea tena.
Hawa wanaokiri kwamba 2019 hali haikuwa sawa ndio haohao walikuwa wanasifia sana wakati huo ila leo...
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaomba Machifu kuhamasisha watu waowaongoza kuchagua vongozi kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye uchaguzi mdogo utakaofanyika mwaka huu kwani chama hicho kimekuwa kikisimamia serikali vizuri.
Akizungumza na Machifu hao leo Jumamosi Julai 20 2024 Ikulu...
Zanzibar katika mambo yake yote wanzungumzia kuhusu Zanzibar na siyoTanzania bado kuna element ya kufanya mambo yao kama Zanzibar na siyo Tanzania na viongozi wengi wanatamani muungano uendelee ili uwawezeshe kufika mahali ambapo wanataka Zanziber ifike.
Muungano huuu meshikiliwa na CCM...
Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi amesema maneno ya Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere bado yanaishi ya kwamba CCM ikitikisika hakutokuwa na Nchi madhubuti na hivyo amewataka kila Mtanzania moyoni mwake asikie kwamba uimara na umadhubuti wa Nchi unamtegeme.
Akiongea Mkoani Singida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.