CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa kupitia kikao chake cha dharura cha Kamati ya Siasa ya mkoani humo imekanusha vikali taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa, Steven Mhapa inayodai majina ya madiwani na wabunge waliopo madarakani sasa yatakuwa miongoni mwa...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Iringa Ndugu Zainab Mwamwindi hivi leo Februari 15 ameongoza kikao maalum cha Kamati ya Utekelezaji ya Baraza la UWT Mkoa wa Iringa kilichofanyika katika ofisi za UWT Mkoa wa Iringa.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Iringa vijijini kupitia kwa Katibu wake Sure Mwasanguti wametoa onyo kali na la mwisho kwa baadhi ya watia Nia wa nafasi ya Udiwani na Ubunge wanaojipitisha katika Kata na Majimbo na kujitangaza na kuomba ushawishi kwa wajumbe kabla ya muda kutangazwa...
Naona mambo yanazidi kunoga tu!
===============
Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa kimeonya vikali watu wanaobeza maamuzi ya Mkutano Mkuu wa chama hicho ya kuwateua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, kupeperusha bendera ya urais katika Uchaguzi Mkuu...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo mkoa wa Iringa Mwl. Joseph Ryata amewaomba Watanzania kujitokeza kujiandikisha kwenye zoezi la kupata vitambulisho vya Mpiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu mwakani 2025.
Akizungumza wakati wa mafunzo ya walimu Makada wa CCM mkoani Songwe, Ryata alisema kuwa...
Watu Wasiojulikana Wanadaiwa wamemvamia aliyekuwa Katibu wa Chama Cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa, Christina Kibiki na kumuua kwa kumpiga risasi.
Taarifa ambayo Matukio Daima Media tumeipata inadai kuwa watu hao Wasiojulikana wamefanya uvamizi huo usiku wa kuamkia leo Novemba...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) anayewakilisha Mkoa wa Iringa, Salim Abri Asas, katika ziara yake ya Kuimarisha Chama, ametoa Simu Janja (Smartphone) kumi na nane (18) kusaidia na kuongeza nguvu katika zoezi la Usajili wa Wanachama wa CCM Iringa mjini kwa njia ya Kielekroniki.
Soma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.