ccm kirumba mwanza

CCM Kirumba Stadium is a multi-purpose stadium in Mwanza, Tanzania. It has a capacity of 35,000 and is the second largest stadium in the country after the National Stadium in Dar es Salaam

View More On Wikipedia.org
  1. Mindyou

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza "ashtushwa" kufungiwa kwa kiwanja cha CCM Kirumba

    Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda, ameshtushwa kwa kufungiwa Uwanja wa CCM Kirumba na kuuagiza Uongozi wa Chama cha Soka Mkoa wa Mwanza MZFA kuiandikia barua Bodi ya Ligi Kuu Tanzania TPLB kuja kukagua Uwanja na waainishe mapungufu yaliyosababisha Uwanja kufungiwa.
  2. Waufukweni

    Vurugu kali zimezuka Uwanja wa CCM Kirumba wakati Simba SC ikifanya mazoezi kuelekea mechi ya Ligi na Pamba Jiji

    Vurugu zimetokea wakati Simba SC ikifanya mazoezi yake ya mwisho kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza Kuelekea Mchezo wa Kesho wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Pamba Fc dhidi ya Simba SC. Wakati vurugu hizo zikiendelea zimepelekea mazoezi kushindwa kuendelea. Soma Pia: Ahmed Ally awahofia...
  3. Waufukweni

    Ahmed Ally awahofia Pamba Jiji, awaita Wanasimba CCM Kirumba. "Hakuna cha uzalendo mbele ya Simba, achana na Pamba. Tukipoteza kuna watu watanufaika"

    "Kikosi kwa sasa kinaendelea na programu ya mazoezi kikijiandaa na mchezo dhidi ya Pamba. Leo usiku tutaondoka kwenda Mwanza na wachezaji wanne waliokuwa Taifa Stars na Camara aliyekuwa timu ya taifa ya Guinea wameshajiunga na kambi. Steven Mukwala atawasili Dar kesho alfajiri na kuunganisha...
  4. W

    Bei ya Dagaa imepungua, karibuni wanunuzi

    Habari wanajami, narudi tena. Bei ya dagaa imepungua maana giza limeanza na uvuvi kuendelea kama ilivyo kawaida. Bei zilizopo muda huu. Japo huwa mabadiliko yapo kutokana na uvuvi ukiwa mzuri au mbaya. Dagaa wa nyasi.(wasio na mchanga) Gunia yenye debe 10 kilo 40 (tsh180000/=-tsh260000/=.)...
  5. ESPRESSO COFFEE

    Ruvu Shooting 1-3 Simba SC | Ligi Kuu | CCM Kirumba

    NBC imerejea leo, Mechi kubwa Inayotazamiwa ni wenyeji RUVU SHOOTING vs Simba SC. Baada ya Mapumziko ya wiki kadhaa sasa ngoma inarejea Tutarajiri Nini Kutoka Kwa Simba? Au Ruvu Shooting wataendelea kuwa Bora? ===== 00' Kabumbu limeanza uwanja wa CCM Kirumba 03' Simba wanapata kona ya...
  6. Ghazwat

    Polisi Tanzania Vs Simba SC (0-1) | VPL | CCM Kirumba

    Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara VPL Kuendelea kupigwa leo Juni 19, 2021 ambapo Polisi Tanzania wanawakabili Mabingwa wa Nchi, Simba SC, Mnyama Mkali kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Jiji Mwanza. Kocha Msaidizi wa Polisi Tanzania George Mketo, amesema wamejipanga kuhakikisha wanaibuka na ushindi...
  7. Analogia Malenga

    TUCTA: Kima cha chini cha mshahara kiwe 970,000

    Kaimu Katibu Mkuu wa TUCTA amesema wamefanya tafiti kubaini kiwango cha mshahara ambacho kinaweza kumtosha mtumishi kuendesha maisha yake. Kutokana na Tafiti yao wamependekeza kiwango cha chini mshahara kiwe Tsh. 970,000 kutokana na gharama za maisha za sasa. Hayo yamesemwa siku ya maadhimisho...
Back
Top Bottom