Salaam Wakuu,
Katika Uchaguzi wa 2020, rais Samia kipindi hicho akiwa Makamu wa rais, alisema hata ukipigia kura chama kingine, CCM itashinda.
Kwa kinachoendelea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, inaonekana kabisa akili zake za mwaka 2020 ndo zilezile. Japo alikuja na 4Rs naona hazifanyi...