Wakuu,
Unaweza kuona ni kwa namna CCM wamepanga kutibua na kuharibu process nzima ya uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mwalimu amewatoa wanafunzi madarasani kusoma, anawaongoza waende wakajiandikishe!
Hii ni mkoani Tabora!
"Kuna kitu naona kinapita mtandaoni ninafikiri cha katibu wa wilaya fulani, watu wanapiga kelele sana oooh ushindi ni lazima, sijui hivi sijui vile, hiyo inajulikana mbona! Ushindi wa Chama Cha Mapinduzi ni lazima, na CCM haina mpango wa kutoka madarakani kesho, kesho kutwa na miaka huko mbele...
Kutokana na yanayoendelea kwenye jamii, ingefaa Chama kitoke hadharani na kuomba msamaha kwa uchafu uliotendeka uchaguzi 2020.
1. Kukataliwa fomu za wagombea wa baadhi ya vyama (huku wagombea wa CCM kupita bila kupingwa).
2. Kuzima internet kwa siku kadhaa.
3. Kunyang'anywa vifaa kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.