Niwaombe sana viongozi na makada wa CCM ngazi za wilaya na kata, msijifichie kwenye mwamvuli wa kufuatilia utekelezaji wa ilani ya chama kwa kunyanyasa wengine.
Jueni mipaka yenu makada wenzangu, nimestaajabu leo mahali fulani mwenyekiti wa CCM wilaya eti nae anatoa amri ya kumsimamisha kazi...