Ni kweli lengo kubwa la chama chochote cha siasa duniani ni kushika dola. Ukweli mchungu kwenye hili ni kwamba kwa hapa kwetu Tanzania, bado sikioni hata chama kimoja kati ya vyama vyote 18 ukitoka CCM, ambacho kina msuli wa kuongoza dola.
Zipo sababu kadhaa ambazo kwa maoni yangu, naziona kama...