Kwa kifupi sana, naomba kujuzwa ni namna gani hiki chama kikongwe kabisa cha ukombozi barani Afrika na kama sio duniani, chenye alama ya "Jembe na Nyundo" kimeweza kuendelea kusalia madarakani mpaka leo hii February tano 2025, huku kukiwa hakuna hata chembe au dalili yoyote ya kung'olewa...