ccm na bao la mkono

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Kura muibe kama alivyokiri DC Ng'umbi, je, huko maporini huwa mnafanya vitu gani au huwa mnawapoteza wagombea?

    Hivi huwa mnajisikiaje hata baada ya kubadilisha matokeo halali ya uchaguzi au kuengua Wagombea wa upinzani bado mnawateka Wagombea hao na kuwatelekeza maporini waliwe na wanyama kama alivyokiri Leo aliyekuwa DC wa Longido Marco Ng'umbi? Ila nyie hata shetani inabidi aje kuchukua mafunzo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…