Pale uwanja wa taifa palikuwa na vihoja vikubwa sana. Utitiri wa wasanii wa tasnia zote wakiimba CCM ni mbele kwa mbele! Wameenda kwa mapenzi ama ni nguvu ya bahasha?
Iweje Kila msanii awe CCM? Ni wasanii wangapi wanaunga mkono upinzani na wanaweza kujitokeza hadharani na kuungana na team ya...