Wanaccm wamekuwa wakijisifu sana eti ni chama kinakubalika na kinashinda uchaguzi kwa kishindo kwa sababu ya sera nzuri na kukubalika kwa wananchi kumbe ni waongo.
Kwa kauli alizotoa nape hivi karibuni na za huyu mheshimiwa wa sasa natamani ccm wajionee aibu maana ni kama wamevuliwa nguo...