ccm njombe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Pre GE2025 Mwenyekiti UVCCM Njombe: Kuna wanasiasa wameifanya Tanzania kama Gheto. Wanavuruga amani alafu kesho anakata tiketi anaondoka!

    Lengi la kauli kama hii ni kumlenga nani? Kuna wanasiasa hapa Tanzaniq familia zako ziko nje ya nchi. Naomba kujuzwa ====================== Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Songwe, Fatma Hussein, anasema anakerwa na baadhi ya wanasiasa ambao wanaifanya Tanzania kama 'gheto' na siyo makazi rasmi...
  2. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Jumuiya ya wazazi CCM Njombe yawanoa Mavanga sec juu ya maadili

    Naona sasa wamendelea kutia nguvu katika harakati zao za kampeni mpaka mashuleni sasa si ndiyo? ================== Tabia za wazazi Wengi kushindwa kuwalea watoto katika malezi yenye maadili mema imetajwa kuendelea kuliingiza Taifa kwenye misukosuko na mmomonyoko wa maadili kwa watoto wanaoweza...
  3. Mkalukungone mwamba

    Mwenyekii wa CCM Njombe: Ongeza watoto kwani huduma za afya zinaboreshwa

    Hivi hizi kauli zao za kuongeza watoto zimekuwa ajenda? Lakini upande wa pili bado hali ni tete sanakwenye mazingira ya huduma za afya. ============ Mwenyekii wa chama cha Mapinduzi Mkoa wa Njombe Deo Sanga {Jah People} amewasihi wananchi wa wilaya ya Wanging'ombe kuendelea kuongeza watoto kwani...
  4. Suley2019

    Pre GE2025 CCM Njombe yawaonya watakaotoa zawadi bila vikao halali

    Chama Cha mapinduzi CCM mkoa wa Njombe kimepiga marufuku wanachama wa chama hicho kujipitisha na kutoa zawadi,misaada au kitu chochote katika kipindi hiki bila kuridhiwa na vikao halali vya chama na kwamba hatua Kali za kinidhamu zitachukuliwa kwa atakayebainika. Kupitia maazimio ya Kikao Cha...
Back
Top Bottom