ccm rukwa

The Chama Cha Mapinduzi (CCM; lit. 'Party of the Revolution' in English) is the dominant ruling party in Tanzania and the second longest-ruling party in Africa, only after the True Whig Party of Liberia. It was formed in 1977, following the merger of the Tanganyika African National Union (TANU) and the Afro-Shirazi Party (ASP), which were the sole operating parties in mainland Tanzania and the semi-autonomous islands of Zanzibar, respectively.
TANU and its successor CCM have ruled Tanzania uninterruptedly since independence. The party has been described as authoritarian. Since the creation of a multi-party system, CCM has won the past six general elections in 1995, 2000, 2005, 2010, 2015 and 2020. Jakaya Kikwete, its presidential candidate in 2005, won by a landslide, receiving more than 80% of the popular vote and John Magufuli as a candidate in 2020 garnered over 84% of the vote. In the 2010 election, the CCM won 186 of the 239 constituencies, continuing to hold an outright majority in the National Assembly.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Mwenyekiti CCM Rukwa ampongeza Mbunge Aesh Hilaly kwa Usikivu na Kujali Wananchi

    Mwenyekiti wa CHama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Rukwa Bi. Silafu Jumbe Maufi amemtaja Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Aesh Hilaly kuwa Mbunge Msikivu na anayewajali wananchi waliompa dhamana ya kuwaongoza. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  2. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Rukwa: Aliyekuwa Katibu wa CCM Tawi la Kalepula auawa kwa kukatwa kichwa. Wanne washikiliwa

    Watu wanne mkoani Rukwa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi wakituhumiwa kumuua kwa kumkata kwa panga ndugu yao Mashaka Sichone, mkazi wa kijiji cha Kalepula, wilaya ya Kalambo ambaye alikuwa Katibu wa CCM Tawi la Kalepula. Baada ya kufanya ukatili huo walitenganisha kichwa na kiwiliwili kisha...
  3. J

    DOKEZO MNEC Rukwa Sultan Seif anavyokwamisha mradi mkubwa wa TAZA

    NEC RUKWA SULTAN SEIF ANAVYOKWAMISHA MRADI MKUBWA WA TAZA Mradi huu Mkubwa wa Umeme sasa upo kwenye mashaka kutekelezeka kwa sababu ya hila Chafu za Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Rukwa, Sultan Saleh Seif. Tangu 2019 Tathmini ya Maeneo yote yanayopitiwa na Mradi...
Back
Top Bottom