Leo nimekutana na clip moja kwny group flani likimuonesha mwenyekiti wa CCM Singida akiwaambia wakina mama wassishie kuzaa mtoto mmoja au wawili kwani mama Samia amewezesha hudum ya afya iko vizuri na uchumi pia uko sawa.
Nikakumbuka kauli ya Hayati Magufuli fyatueni tu baadae waziri wa Afya...