Siku moja baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF, kuufungia uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora, kutumika katika michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kukosa vigezo na kanuni za mpira wa miguu, wamiliki wa uwanja huo ambao ni Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Tabora wameanza kuufanyia...