ccm tanzania

The Chama Cha Mapinduzi (CCM; lit. 'Party of the Revolution' in English) is the dominant ruling party in Tanzania and the second longest-ruling party in Africa, only after the True Whig Party of Liberia. It was formed in 1977, following the merger of the Tanganyika African National Union (TANU) and the Afro-Shirazi Party (ASP), which were the sole operating parties in mainland Tanzania and the semi-autonomous islands of Zanzibar respectively.
TANU and its successor CCM have ruled Tanzania uninterruptedly since independence. The party has been described as authoritarian. Since the creation of a multi-party system, CCM has won the past six general elections in 1995, 2000, 2005, 2010, 2015 and 2020. Jakaya Kikwete, its presidential candidate in 2005, won by a landslide, receiving more than 80% of the popular vote. In the 2010 election, it won 186 of the 239 constituencies, continuing to hold an outright majority in the National Assembly.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Nimefurahi sana Steven Masatu Wassira kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara

    Huyu mwanaume pamoja na umri wake ana madini kuliko mtu yeyoye unayemjua wewe hapa Tanzania, kwanza ni msomi wa hali ya juu, pili anajua historia ya nchi hii, tatu hakuna hoja unayoweza kuiweka mezani akashindwa kuijengea hoja, mwanaume huyu anazungumza kwa hoja inayoeleweka, nakumbuka kuna...
  2. Cute Wife

    Pre GE2025 Stephen Wasira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara

    Habari Wakuu, Fuatilia moja kwa moja yanayojiri katika Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma leo na kesho January 19-19, 2025. Nani kumrithi Kinana? https://www.youtube.com/live/kGNDo4TvGpI?si=ud91is-_-iElNfhO Makundi mbalimbali ikiwemo vyama vya siasa ndani na nje ya nchi, wasanii, taasisi za dini...
  3. Ojuolegbha

    Mama Mariam Mwinyi amekutana na Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa

    Mke wa Rais wa Zanzibar, Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi amekutana na Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Bi. Zainab Shomari aliyeambatana na Ujumbe wake waliofika Ofisi za ZMBF Migombani kujitambulisha na kushirikiana katika Masuala ya Wanawake na...
  4. saidoo25

    Kongamano la Wahariri limeacha maswali mengi. Nani yuko nyuma?

    Kongamano la Wahariri naweza kusema limeacha maswali mengi sana kuliko mafanikio tuliyotarajia tuyaone kutokea hapo. 1. Nani aliyewalipa posho na malazi kwa siku zote walizokaa Iringa(Yeye mlipaji ananufaikaje kwa fedha zake alizotoa) 2. Wametajwa wabunge, majaji, mawaziri kuwa ndio...
  5. saidoo25

    Mzee Kikwete akanusha kuwepo kwa Mawaziri wanaotafuta fedha na mikopo nje ya nchi kumg'oa Samia Uchaguzi 2025

    TAFAKURI YA KAULI YA RAIS MSTAAFU JAKAYA MRISHO KIKWETE ALIYOITOA KWENYE MKUTANO MKUU WA 10 WA CHAMA CHA MAPINDUZI 8/12/2022 DODOMA Rais Mstaafu Jakaya Kikwete amemtaka Mh. Rais Samia Suluhu Hassan asisikilize porojo zinazotolewa na baadhi ya watu kuwa kuna mawaziri wanaokwenda nje ya nchi...
  6. saidoo25

    CCM iko wapi hadi Mawaziri wanampotosha Rais kiasi hiki

    Chama cha Mapinduzi (CCM) ni chama kinachoshika dola na kinaundwa kuanzia ngazi ya Shina, Tawi, Kata, Wilaya, Mkoa hadi Taifa lakini jambo la kusikitisha sana licha ya Wanachama wake wawili Mwigulu Nchemba na Januari Makamba kumpa taarifa za uongo Mh Rais wetu ambaye ni Mwenyekiti wa CCM na...
  7. M

    Bunge lichukue hatua kwa kauli ya kejeli ya Waziri Makamba ya kuita wawakilishi wetu upuuzi mtupu

    Nimefuatilia mjadala mkubwa wa Waziri wa Nishati kutumia lugha za kashfa kwa Mamlaka iliyokuwa inahoji kuhusu kuchelewa kwa Bwawa la Julius Nyerere pamoja na tatizo la kukatika kwa umeme. Sote tunatambua hoja hizo ziliibuliwa bungeni na Kamati za Bunge za Nishati na Madini pamoja na Kamati ya...
  8. M

    Bashe afuata ushauri wa Mpina aurejesha mfumo BPS kwenye Mbolea, vyombo husika vichukue hatua kwa Bashe kulidanganya Taifa

    Kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram Waziri wa Kilimo Leo Julai 13, 2022 amekutana kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Bi. Victoria Kwakwa kujadili maeneo ya ushirikiano kwenye IDA20. Pamoja na mambo mengine Bashe amesema mazungumzo yao pia yamegusia Swala la bei ya...
  9. I

    Nchi ngumu sana hii, Mheshimiwa Rais Mama Samia anasema hatatoa kwanza ajira

    Nchi ngumu sana hii, Mheshimiwa Rais Mama Samia anasema hatatoa kwanza ajira kwanza ili awapandishe madaraja walioko kazini,duh ukijiuliza yupi mwenye uhitaji kati ya ambaye Hana ajira na ambaye ana ajira?. Leo hii vijana wapo mitaani wakiambiwa wajiajiri wenyewe lakini ukirudi nyuma...
  10. T

    Utabiri: Huenda ya KANU nchini Kenya yakaikumba CCM

    Kule Kenya kulikuwa na chama imara na kilicho tikisa taifa kilichoitwa Kanu. Hakuna asie juwa vile Kanu chini ya Kenyata na Mzee Moi kilivyo watoa kamasi wakenya. Kilikuwa na power full makachero na kilikuwa na majasusi hatari like never before sidhani hata cc wamefikia hizo level. Chini ya...
Back
Top Bottom