Niende moja kwa moja, nawashauri chadema mkitaka kufanikiwa, wekezeni sana kwenye mitandao ya kijamii, ajirini watu kabisa ikiwezekana.
1. Israel na Hamas vita yao kubwa ilikuwa ardhini, lakini vita kbuwa zaidi ilikuwa mitandaoni. waliajiri watu kabisa ambao akiamka asubuhi hadi jioni anaenda...