Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amewataka Wanachama wa CCM kuwa licha ya kujiamini hawatakiwi kubweteka na wasiingiwe na uoga dhidi ya Wapinzani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Amesema hayo wakati wakati wa Maadhimisho ya...
Naona kila CHADEMA inapobanwa kisayansi na CCM wanaanza kumtaja taja Shujaa Magufuli
CHADEMA pambaneni na hali zenu hii ni awamu ya 6 Katibu mkuu ni Dr Nchimbi siyo Bashiru na Mwenezi ni Komredi Makalla siyo Polepole.
Sasa hivi CCM inazungumzwa kila mahali kwenye mitandao, mashambani, maofisini na hata kwenye mikutano ya wapinzani wenyewe wanaizungumza CCM.
KATIKA hili wacha tukipongeze kitengo cha propaganda.
Sio kwamba mtaani hakuna njaa, Ila Kuna namna hakuna jinsi Tena.
Sasa sijui kimetokea Nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.