ccm vs upinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Rais Samia awaambia CCM: Tusiingiwe na pepo la kuwaogopa Wapinzani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amewataka Wanachama wa CCM kuwa licha ya kujiamini hawatakiwi kubweteka na wasiingiwe na uoga dhidi ya Wapinzani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025. Amesema hayo wakati wakati wa Maadhimisho ya...
  2. J

    Natoa angalizo, CHADEMA mnapozidiwa kimbinu na CCM msikimbilie kujificha kwenye kichaka cha Hayati Magufuli haitawasaidia!

    Naona kila CHADEMA inapobanwa kisayansi na CCM wanaanza kumtaja taja Shujaa Magufuli CHADEMA pambaneni na hali zenu hii ni awamu ya 6 Katibu mkuu ni Dr Nchimbi siyo Bashiru na Mwenezi ni Komredi Makalla siyo Polepole.
  3. Pre GE2025 Nafikiri CCM wamefanikiwa. Swali Ni upinzani umefeli wapi?

    Sasa hivi CCM inazungumzwa kila mahali kwenye mitandao, mashambani, maofisini na hata kwenye mikutano ya wapinzani wenyewe wanaizungumza CCM. KATIKA hili wacha tukipongeze kitengo cha propaganda. Sio kwamba mtaani hakuna njaa, Ila Kuna namna hakuna jinsi Tena. Sasa sijui kimetokea Nini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…