ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi kweli CCM imefikia hatua ya kupigiwa debe na kutwaliwa na Machawa kama Gari ya Chai Maharage enzi hizo Seriously?

    Is it real? Yaani CCM inabebwa na sura za wasanii akina mwijaku, Dotto toyo, kiredio na mburura wengine, are we serious with our CCM? Shameful strategy, have we become so cheap to this level? Kweli chama kimetekwa? Je, ni uoga au ni ushamba? Je, CCM kila nyakati CCM itakuwa chini mtu ambae yuko...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kuweni na huruma na wananchi wagombea wenu hawatoshi kupeperusha bendera ya chama

    Utawala wa CCM kwa sasa umekuwa mgumu kwa nchi wagombea waliopo wote mnawajuwa mmoja ana uraisi wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wote mmeona aliyoyafanya katika kipindi chake na kinachoendelea watu wamepotea hovyohovyo tena bila kificho watu wamepaza sauti hamna kilichofanyika...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamba: Sisi CCM kwenye urais tumeshamaliza kazi, mgombea wetu ni Rais Samia

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), January Makamba amesema chama chao kimeshafanya uamuzi kuhusu kiti cha urais kwa kumteua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea. Soma Pia: Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025 “Sisi CCM...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Issa awaambia CCM hamuwezi kupata kura Konde, 'labda mje mtupige bakora, Sera zenu mbovu'

    Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo) Mohammed Said Issa ameibua mzozo Bungeni mara baada ya kusema kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakiwezi kupata kura katika jimbo lake kwa sababu sera zao ni mbovu. Mbunge Issa ameyasema hayo jioni ya tarehe 06 Februari, 2025 Bungeni Jijini Dodoma wakati...
  5. JamiiForums Tanzania Maktaba ya CCM Dodoma

    MAKTABA YA CCM DODOMA Maktaba ya CCM Dodoma imesheheni vitabu vingi na majarida mengi. Mara ya mwisho miaka mingi iliyopita nilipokuwa hapo maktaba ilikuwa chumba kitupu mfano wa ukumbi mrefu wenye viti na meza mtu akakaa na kujisomea. Leo Maktaba ya CCM ni Maktaba hasa yenye meza na viti...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM washtuka, Rais Samia asema, kwenye Uchaguzi Mkuu, CCM itajiimarisha na matumizi ya TEHAMA kuongeza mawasiliano na kuwafikia Wanachama

    "Tuapoelekea katika uchaguzi mkuu, tutaendelea kujiimarisha zaidi ndani ya Chama, tumekiwezesha chama nyezo muhimu za usafiri, tunataka kuona viongozi wa CCM wanawafikia Wananchi kuwasikiliza na kutatua changamoto zao, lakini katika hatua nyingine kichama tumejipanga na matumizi ya Tehama ili...
  7. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Golugwa asema Uimara wa CCM ndani ya miaka 48, CHADEMA wajipange na vyama vya upinzani vimeshindwa kusimamia masuala ya msingi yanagusa watanzania

    Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikiwa na historia ya miaka 48 ya uimara, umoja, na mafanikio makubwa, kimeendelea kuwa mwamba wa siasa za Tanzania huku kikijipambanua kama kiongozi wa maendeleo na mshikamano wa kitaifa. Kwa upande mwingine, vyama vya upinzani, kama CHADEMA, vimeonekana mara kwa mara...
  8. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa viti maalum Zanzibar, Tauhida Gallos amesema kuwa dunia inapaswa kuangalia uongozi wa CCM kama mfano

    Mbunge wa viti maalum Zanzibar, Tauhida Gallos ameeleza kuwa dunia inapaswa kuangalia mfumo wa chama cha mapinduzi kama mfano katika uongozi kwani chama hicho kina sifa za kipekee Sasa kwa la ajabu gani lilifanywa na CCM hadi watizamwe kama mfano? Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hii ndio hazina ya vijana CCM tunaotegemea wawe mfano wa uongozi kwa vijana wengine nchini

    Wakuu Hawa ndio vijana tunaotarajia kuwa viongozi wa kesho, lakini badala ya kusimamia maslahi ya wenzao, wanajikita kwenye kampeni za kusifia bila hoja. Badala ya kushinikiza fursa na maendeleo kwa vijana, wamebaki kupiga simu za kujipendekeza kwa Mwenyekiti wao wa CCM na mapambio yasiyo na...
  10. JamiiForums Tanzania Stability ya Serikali inategemea mgombea urais achelewe kuteuliwa

    Rais Samia angechaguliwa May kuwa mgombea urais ingeleta maana zaidi. Sasa hivi serikali inakosa legitimacy. Serikali inakosa uhalali. Hakuna ushindani,hakuna struggle,njia za mkayo zinatumika kuingia Ikulu au kukaa Ikulu. Rais anaingia uwanjani na mtu anatembea MBELE ya gari. Whatever does...
  11. JamiiForums Tanzania Nauchukia mwezi February, mwezi wa birthday ya mke wangu, mwezi wa birthday ya CCM, mwezi wa Valentine's Day

    Huu mwezi sipendi kabisa. Nimetoka kulipa ada ya watoto watatu,mwezi uliopita January. Inaingia February inaanza na siku ya CCM, mkosi namba Moja tarehe 05/ Feb. Inafuata birthday ya mama watoto, she is very much demanding, yaani kwake birthday yake ni kama kamungu kake kadogo, utake usitake...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nchi za Ulaya nazo ziungane na Marekani kukata misaada. Ajira zikikosekana, ndio watanzania wataelewa kwanini CCM inafaa kuondolewa madarakani

    Miongoni mwa watu ambao watakuambia mimi sifuatili siasa, ni bsadhi ya hawa wenzetu wanaofanya kazi karika mashirika ya kimataifa na kulipwa hela nyingi kiasi kwamba waona siasa kwao haina maana. Mimi naomba na nchi za Ulaya nazo zisitishe misaada kama Marekani ili wote tuongee lugha moja juu...
  13. JamiiForums Tanzania Je kulikuwa na ulazima wa CCM kufanya maadhimisho ya miaka 48 badala ya kusubiri miaka 50

    Nawasilisha Bado nafikiria kulikuwa na ulazima gani wa CCm kuwahi kufanya maadhimisho ya miaka 48 wakati ingefaa na ingekua bora zaid kama wange fanya ikifikisha miaka 50 Au kuna sababu nyingine
  14. JamiiForums Tanzania Siri ya kudumu kwa CCM madarakani ni nini?

    Kwa kifupi sana, naomba kujuzwa ni namna gani hiki chama kikongwe kabisa cha ukombozi barani Afrika na kama sio duniani, chenye alama ya "Jembe na Nyundo" kimeweza kuendelea kusalia madarakani mpaka leo hii February tano 2025, huku kukiwa hakuna hata chembe au dalili yoyote ya kung'olewa...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 PICHA: Vijana wa UVCCM walivyopiga magoti na mabango ya Rais Samia kwenye sherehe za miaka 48 ya CCM

    Wakuu Hawa ni Vijana wakiwa wamepiga magoti na mabango kwenye Maandamano ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, zinapofanyika sherehe za miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi. Soma, Pia: Kuelekea Uchaguzi 2025: Vijana tunafanya nini kuongeza...
  16. JamiiForums Tanzania Magari ya kukodi

    Kodi gari lenye uhakika na Rhond's company limited linalofaa kwa mahitaji yako yote ya kusafiri. 📅 Yanapatikana sasa – weka oda mapema uhakikishe tarehe zako! ✅ Bei nafuu ✅ Magari masafi na yanayotunzwa Piga simu/WhatsApp +255 655 633 302
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia awaambia CCM: Tusiingiwe na pepo la kuwaogopa Wapinzani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amewataka Wanachama wa CCM kuwa licha ya kujiamini hawatakiwi kubweteka na wasiingiwe na uoga dhidi ya Wapinzani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025. Amesema hayo wakati wakati wa Maadhimisho ya...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Prof. Mkumbo afananisha tuzo aliyopewa Rais Samia na tuzo ya Kombe la Dunia la FIFA, asema haya nimafaniko ya CCM

    Wakuu Mbunge wa Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo, ameifananisha tuzo Maalum ya Kimataifa ya 'The Global Goalkeeper Award' aliyopewa Rais Samia Suluhu Hassan na tuzo ya Kombe la Dunia la FIFA, akisema ni ushindi mkubwa kwa Tanzania na mafanikio ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Soma, Pia: Rais Dkt...
  19. JamiiForums Tanzania Hongera CCM kwa Kutimiza Miaka 48: Haya ni Baadhi ya Mapungufu Yenu

    Leo Februari 5, Chama Cha Mapinduzi kimetimiza miaka 48 tangu kianzishwe. Chama hicho kinaadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwake mkoani Dodoma ambako Mwenyekiti wake wa Taifa, Rais Samia Suluhu Hassan ni mgeni rasmi. Kwa vile takriban wiki nzima kabla ya sikukuu hiyo, viongozi na wanachama wa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Huu ndiyo ubunifu wa wasanii au ni kujitoa akili?

    Wakuu nimeona Msanii Stan Bakora akiwa na mwijaku wanaigiza kama wamepatwa na kichaa huku wanagalagala chini, lengo likiwa ni kusheherekea miaka 48 ya CCM. Soma pia: Pre GE2025 - Wasanii wanahamasisha vijana kushiriki UVCCM marathon, ila kwenye baadhi ya mambo mfano kutekwa kwa raia wapo kimya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…