ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania CCM Zanzibar kusimamisha shughuli mapokezi ya Dkt. Mwinyi

    Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar kimewataka wanachama na wananchi kujitokeza kwa wingi kumpokea Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiket ya chama hicho Dkt Hussein Ali Mwinyi ambae atawasili kesho Januari 22, 2025 mchana katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Katibu wa...
  2. JamiiForums Tanzania Mbona walinzi wa Samia hawakuvaa sare za chama juzi kwenye Mkutano Mkuu wa CCM?

    Enzi ya awamu ya tano, aliyepata kuwa mwenyekiti wa ccm John Magufuli, walinzi wake walikuwa wakivaa sare za chama hiko kwenye mikutani na shughuli za chama hiko. Lakini kwasasa ni tofauti, kwa siku mbili mtawalia, sikuona walinzi wa Samia wakiwa na sare za chama, je mambo yamerudi kwenye...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Godfrey Malisa: Nitakwenda mahakamani kupinga kuvunjwa kwa katiba ya CCM na ya nchi kwa yaliyotokea Dodoma

    Mwana CCM GODFREY MALISA ameamua kusema ukweli. "Sasa hivi tayari inafahamika kwamba Chama cha Mapinduzi katika Mkutano wake Mkuu kilipitisha kwa kauli moja na kumtangaza Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM, jambo hili nilipolisikia sikuamini kwamba tumefikia hapa...
  4. JamiiForums Tanzania CCM walienda kufanya "show off" na uvunjifu wa Katiba Yao wenyewe, haukua mkutano!

    Kwa MTU yoyote mwenye akili timamu ambazo haziongozwi na mihemko atakubaliana na habari hii. Mkutano ulijaa "show off" KULIKO maana halisi za mkutano. Walienda kutuonyesha uwezo wao wa kutumia resources Vibaya. Kwa mfano, Nani mwanachama mwandamizi wa CCM anayefahamu mabasi Yale, baskeli, Boda...
  5. JamiiForums Tanzania CCM imara inauhitaji upinzani imara

    Mimi nikiwa mtumishi wa Mungu ninawatakia kila la heri CHADEMA katika uchaguzi wao wa viongozi wa ngazi za juu wa leo tarehe 21/01/2025. Ninawatakia uchaguzi wenye amani, huru na haki katika kuwapata viongozi hao. "chama legelege huzaa serikali legelege" Mungu ibariki Tanzania, ibariki...
  6. JamiiForums Tanzania Huu Ndiyo Ukweli; Uchaguzi wa CHADEMA Ndiyo Uchaguzi wa Kinyonge Hivi?

    Safari ya imeanza 2025, hapa yupo Samia Suluhu pembeni Nchimbi. Nyuma hapo, bado kugumu ila kesho jogoo anawika safari nyingine inaanza. Toka Dodoma tufanye uchaguzi na kuwapitisha miamba miwili sijaona block yoyote kutuzuia miezi michache ijayo. Niseme kweli tupu, kabla ya Dodoma na hata...
  7. JamiiForums Tanzania Waliokatwa ugombea CDM 2025 poleni; lkn karibuni CCM (Mama atawapokea)

    Nimesikitika sana na vitendo viovu na hujuma mnazosema mmefanyiwa. " Wote mliokatwa majina, Wote mlioenguliwa, Wote mtakaodhihakiwa, Wote mnaopenda demokrasia pana, Kwa mikono miwili na kwa upendo wa hali ya juu mnakaribishwa ktk chama kizuri cha CCM. Ulizeni waliokuja i.e Msigwa, Mtatiro...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je Media za Tanzania zitaipa chadema Airtime ya kutosha kwenye mkutano wao kama ilivyofanya kwa CCM?

    Wakuu kesho ndio kesho.. Je serikali itakubali chadema ionekane? Je Media zitakubali kutangaza ikibidi 'live" Kama walivyofanya kwa CCM? Binafsi naona matangazo yakikatwa katikati
  9. JamiiForums Tanzania Mkutano Mkuu Chadema Kesho Kujibu Mapigo Dhidi ya CCM kwa Kusimka Lissu Mwenyekiti Taifa, Kumtangaza Mgombea Urais 2025 na Kumpatia Mgombea Mwenza?

    Mhe. Tundu Antipas Mughway Lissu, Mwenyekiti Mtarajiwa wa Chadema na Mgombea Urais Mtarajiwa Katika Uchaguzi wa 2025 Kutokana na mikutano mikuu ya Chadema na CCM inayofanyika kwa kufuatana ndani ya Januari 2025 sasa ni wazi kwamba busara kongwe za wanazuoni zitaanza kutimia. Wanazuoni wengi...
  10. JamiiForums Tanzania Ni Mkutano kisiasa wa CCM , ila Waandishi wa habari wanamuhoji WEMA SEPETU masuala ya yeye Kutokuzaa, na masuala ya Mbwa wake "Manunu"

    Wakuu hivi hii Generation ya Waandishi wa habari imetokea wapi 🤣🤣 https://youtu.be/aS5a0j4pvTk?si=S4cjS7qxzOIZSn8N
  11. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwa ulivyopanga, kuratibu na kufanikisha kikamilifu kwenye mkutano mkuu CCM Dodoma, you are the smartest president in history of tanzania

    Wadau hamjamboni nyote? Umewashtua na kuwashangaza pakubwa mno wamebaki wasijue nini kimetokea na nini wafanye You took them by surprise very much unprepared! Tafakuri ya kina kwa wenye hekima Never ever understand Samia suluhu Hassan, never underestimate the power of a woman. Samia judging...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wana CCM kataeni UHUNI uliofanyika Dodoma

    Kwenu wana CCM mnaojitambua, wenye mapenzi mema na chama na mustakbali mwema wa nchi hii. Hicho mlichofanyiwa Dodoma ni uhuni mtupu, hakipo ndani ya kanuni, taratibu wala culture ya chama. Inakuwaje mnakubali genge dogo la watu wachache wanakaa chemba ili waje wawastukize kwa jambo nyeti kama...
  13. JamiiForums Tanzania "Sykes, Sykes, Sykes" Ndani ya Mkutano Maalum wa CCM Dodoma

    Majuma mawili yaliyopita kwenye group letu moja kuna mwenzetu mmoja aliandika maneno hayo hapo chini: "Jamani historia nzima ya Tanganyika ni Sykes and Sykes and Sykes and Sykes." Nadhani alikuwa kachoka. Kila ninapoandika historia ya uhuru wa Tanganyika Sykes hawakosekani. Kwa hakika...
  14. JamiiForums Tanzania CCM na Samia wameogopa nini hadi kupitisha mgombea na mgombea mwenza kibabe, na kinyume cha katiba yao wenyewe mbali na kukosa demokrasia?

    Kitendo cha CCM kupitisha wagombea wao kabla ya kipenga kupigwa na kinyume na katiba yao, kinatia shaka. Je kuna mgawanyiko na kutoelewana kwenye chama cha machawa? Je wamefanya hivyo kuogopa nini wakati tunaambiwa mama anaupiga mwingi? Je hii inazika ndoto za makada wenye ushawishi mkubwa...
  15. JamiiForums Tanzania Kikatiba na Kikanuni, Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM 2025 Wamesigina Haki za Wanachama wa CCM Kwa Kufanya Uteuzi wa Wagombea Urais Bila Notice!

    Haki ya kuchagua (au kuomba kuchaguliwa kuwa) kiongozi ni haki ya msingi ya kila mwanachama wa CCM. Haki hii ni ya kikatiba na kikanuni. Kwa kawaida, watendaji wa chama hutangaza kufunguliwa rasimi kwa dirisha la kuchukua, kujaza na kurudisha fomu za kuomba kugombea nafasi za uongozi (kama vile...
  16. JamiiForums Tanzania Mkutano wa CCM, Wajumbe wote wamesimama kushangilia uteuzi wa mgombea Urais kasoro Luhaga Mpina

    Angalia video:- Je Luhaga Mpina:- 1. Anaumwa miguu AU 2. Hajafurahia ushindi?
  17. JamiiForums Tanzania PhDs zinapishana tu uongozi CCM

    Nakipenda Chama Changu kwa kuheshimu Elimu. Fikiria ni mwendo wa PhD kupokezana vijiti kasoro Namungo Express
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Najiandaa kumburuza katibu mkuu wa CCM mahakamani kwa kuninyima haki yangu ya kikatiba ya kugombea urais 2025 kupitia CCM

    Mimi nilijiandaa na nimejiandaa kugombea urais kupitia CCM 2025 kwa kuwa uwezo ninao na nimekidhi vigezo vya kuwa mgombea halali kupitia CCM ! Nashangaa Leo mkutano unaadhimia tu bila kuuliza ni wangapi wana nia ya kugombea nafasi hiyo ! Sijalizishwa na maamuzi yaliyotolewa hivyo najiandaa...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM wamemaliza yote Dodoma, yanayofuata ni kukamilisha ratiba tu hadi 2030

    1. Hongereni CCM kwa Mkutano Mkuu Maalum hapa Dodoma. 2. Yanayofuata yote ni kukamilisha mechi za kwenye ratiba tu a.k.a stand up comedy. **Sasa naelewa kwann Wasanii wote walialikwa Dodoma
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchambuzi: CCM kumteua Steven Wassira ni onyo kwamba watashinda uchaguzi wa 2025 kwa gharama yoyote, CHADEMA ijipange kwa uchaguzi wa 2030 na si 2025

    Habari za mwisho wa wiki wadau na kheri ya mwaka mpya. Lakini kwanza nitie angalizo kwamba mie si mwanachama wa chama chochote bali ni mtaalam tu niliejifunza kufanya chambuzi na mambo mengine khasa ya kimataifa zaidi. Hivyo kuna wakati najikuta naangalia kinoendelea hapahapa nchini mwetu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…