ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM asilimia 95 tunamuunga Mkono Mbowe. Hatumtaki Lissu. Tunataka Mbowe agombee na Urais

    Ndiyo. Hatumtaki Lissu CHADEMA sababu Lissu atakiua chama.na Lissu ataleta migogoro CHADEMA. Sisi CCM Tukifikiria hilo tunaona si sawa. Si jambo jema. Kama nasi tutaruhusiwa kupiga kura basi tutamchagua Mbowe. Na tumeshaelekezana kuwa KAMANDA ANATOSHA. TUNAENDA NA MWAMBA. Lissu ni mtu asiyefaa...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni Mpango wa CCM CHADEMA kisiwe chama cha kitaifa, Ndio maana Mbowe kwao ni Chaguo Sahihi

    Mpo salama! Ninachowakubali CCM wanajua kusukuma Kete zao kwa AKILI Sana na pale inapohitajika nguvu kidogo wanatumia CCM KAMWE haitaruhusu Chama chochote cha upinzani kiwe chama cha siasa cha kitaifa. CCM hawaoni shida wala haiwashughulishi chama cha upinzani kutawala kanda Fulani au Mkoa...
  3. JamiiForums Tanzania Hii ni ajabu ya Dunia. Wana CCM wenyewe hawajui ni kwa nini chama chao kinaitwa Chama cha Mapinduzi!

    Leo hapa Iringa kwenye yale mabishano ya mitaani kuhusu siasa nimeshangazwa Sana na wana CCM. Zaidi ya wana CCM 50 niliokutana nao na kuwauliza ni kwa nini chama chao kinaitwa "Chama Cha Mapinduzi" hakuna hata mmoja aliyekuwa na jibu. Kuna wakati taasisi ya Twaweza waliafanya utafiti wa ni...
  4. JamiiForums Tanzania Kipanya Cartoon: CCM wana King 3, CHADEMA 1

  5. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sukuma gang hatuta-support CCM 2025, tutakwenda na Tundu Lissu

    Huo ndio msimamo mpya , baada ya yote yaliyopita na kutokuwepo jf kwa zaidi ya mwaka nimeona niweke wazi msimamo watu tunaoamini katika falsafa za hayati Magufuli ni kwamba tutamsupport TL popote alipo . Niweke wazi ,sukuma gang sio kabila ni itikadi ya kizalendo . Ni hayo tu .
  6. G

    JamiiForums Tanzania Ukiona wewe ni mpinzani na Sisi CCM tunakuunga mkono, wewe sio mpinzani ni rafiki yetu wa karibu

    Labda Leo tuwaeleze kwa kifupi Sana. Ukiona wewe ni mpinzani, au unajiita mpinzani kisiasa lakini Sisi WanaCCM tunakuunga mkono kwa maneno na vitendo basi fahamu wewe sio mpinzani wetu Bali ni rafiki yetu wa karibu. Na ukiona wewe ni mpinzani na Sisi ccm hatukuungi mkono na tunakuchukia Sana...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 JF kama timu na familia moja Oktoba 2025: Twendeni tukamchague Dkt. Samia Suluhu, Mgombea Urais wa CCM kwa awamu ya pili kama mkuu wa nchi yetu huru

    Kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 2025, nashauri JF as team and united family, tusifanye makosa. Tuambatane na kuandamana pamoja kwa umoja na Dr.Samia Suluhu Hassan anapokwenda kuchukua nafasi kwa ngwe yake ya pili ya uongozi wa Taifa letu. Amefanya kazi kubwa mno kwa kipindi kifupi sana...
  8. JamiiForums Tanzania Utaratibu na Mbinu za kupata Ubunge kupitia ticket ya CCM mwaka 2025,Jimbo la Same Mashariki,Huko Kilimanjaro

    Utangulizi Kufanikiwa kupata ubunge mwaka 2025 kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni lengo la wengi, lakini linahitaji mipango, mikakati, na uelewa wa mazingira ya kisiasa. Hapa chini ni hatua, vikwazo, na mbinu za kufanikisha lengo hili. 1. Uelewa wa Utaratibu wa Uchaguzi a...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Slaa: Minyukano ya kambi za uchaguzi wa Mwenyekiti (Mbowe & Lissu) CHADEMA, sababu ni Mbowe anataka kugombea Urais 2025

    Fuatilia kwa umakini minyukano ya siasa za uchaguzi wa Mwenyekiti CHADEMA Taifa utakaofanyika tarehe 21/01/2025 inayoendelea ndani ya chama hiki kisha husianisha na matukio haya👇.. TUKIO #1: Tundu Lissu atangaza nia ya kugombea u - Rais wa JMT 2025 iwapo chama chake kitampa ridhaa. Asema...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mwenezi wa CHADEMA Njombe atimkia CCM

    Katibu Mwenezi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Jimbo la Njombe Mjini Emmanuel Kayombo na wenzake saba wamehama Chama hicho na kutimkia Chama Cha Mapinduzi CCM Mwaka 2020 Kayombo aligombea udiwani Kata ya Njombe Mjini, Kupitia lakini hakufanikiwa kushinda. Na mwaka 2024 aligombea...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Chama chetu hakina ukomo wa Madaraka na msitulazimishe kuwa kama CCM ama Act Wazalendo wenye ukomo wa Madaraka kwa viongozi

    Mwenyekiti wa Chadema bwana Mbowe amesema chama chao cha chadema hakina ukomo wa madaraka na watu wasiwalazimishe kua kama CCM ana ACT wazalendo wenye ukomo wa Madaraka. Mbowe anasema ukomo wa madaraka kwenye chama chao ni pale wanapofanya uchaguzi kila baada ya miaka 5 hivyo kama kiongozi...
  12. JamiiForums Tanzania Nipeni Urais wa Tanzania muone namna gani CCM wametuchelewesha!

    Nitafanya mambo matano muhimu. 1. Kuufanya Arusha kuwa Mji wa Taasisi za Kimataifa Afrika ambapo Taasisi zote za kimataifa zitapewa maeneo ya kujenga Ofisi zao na Makazi ya Wafanyakazi wao Arusha- Kupitia hili nina uhakika wa kuingiza fedha nyingi sana za kigeni pamoja na kutengeneza ajira za...
  13. JamiiForums Tanzania Chadema na CCM ndiyo vyama vikubwa Tanzania kwa sasa. Hivi vingine vidogo ni bora vikachagua upande wa kuingia kati ya hivi vikubwa

    Sio kwamba navidharau hivi vyama vingine ila wasipojitathimini, wakaamua kujiunga na moja wapo wa hivyo vyama viwili vikubwa. Tanzania kwa sasa, wataishia kuzunguka hapo hapo mambo yajayo kisiasa yanaonyesha hivi ndio vyama vitakavyokuwa vikipokezana utawala katika taifa hili la Tanzania...
  14. JamiiForums Tanzania Je, CCM imebaliki Hayati Magufuli kuzalilishwa na kuleta fedheha kwa wanafamilia wake?

    Najua Chini ya uongozi dharimu wa CCM Raisi analindwa akiwa hai hadi kaburni. Sasa huu utaratibu wa kumsimanga hyati umeamzia wapi. Je, CCM inapata faída gani na haya yanayoandikwa au tuamini Kweli CCM huwa wanaua watu ikulu. My Big concern ni kwa wanafamilia ya Magufuli maana Naona Mzee...
  15. JamiiForums Tanzania CCM kwanini mmeiharamisha pombe aina ya Gongo?

    Mpaka Sasa sielewi ni kwanini CCM mpaka Sasa inaendelea kuiharamisha pombe aina ya gongo!! Hivi CCM haiwezi kuifuta hii sheria kandamizi Ili watanzania maskini wapika pombe aina ya gongo waweze kujikwamua kiuchumi? Hivi CCM wanaweza kutuambia uharamu wa pombe ya gongo unatokana na kitu gani...
  16. JamiiForums Tanzania Kuaminika kwa Rais Dkt. Samia Suluhu kwa Watanzania na kukubalika kwa CCM kwa Wananchi ni ushindi wa kishindo kwa Taifa letu moja

    Ukifuatilia kwa umakini na ukaribu zaidi, uelekeo wa siasa za Tanzania, utagundua kwamba, Dr.Samia Suluhu Hassan, anakwenda kurekodi na kuandika historia mpya ya kuaminika zaidi kama Rais wa Tanzania, Lakini pia kukubalika zaidi kwa wanainchi kama mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa, na...
  17. JamiiForums Tanzania Kuwa mpinzani sio ujanja na kuwa CCM sio ujinga , bila fair political battle ground chuki itatumaliza

    CCM , CHADEMA,NCCR MAGEUZI na vyama vingine vyote vinaundwa na watanzania ingawa hawa watanzania wanakuwa na mitazamo tofauti kulingana na sera za vyama vyao . Kipindi nakua nlikuwa naichukia sana CCM na kuwaona wale walio upinzani ndio wa maana sana ,nlikuja gundua yale ndio yalikuwa mawazo ya...
  18. JamiiForums Tanzania CCM pelekeni Mwenge Mozambique ukalete amani. Kama Mwenge ukishindwa kupeleka amani Msumbiji, upoteze uhalali wa kukimbizwa nchini

    Mwenge wa uhuru tunaambiwa kwamba unaleta amani pasipo na amani, unaleta tumaini pasipo na tumaini, upendo penye chuki. Tanzania tumekuwa tukitumia mabilioni ya fedha za walipa Kodi kugharamia mbio za Mwenge nchi nzima. Kwa kuwa Mozambique ni ndugu zetu wa damu, ni wakati sasa wa serikali ya...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Lwaitama awapa Mwamba, CCM na wafuasi wao vidonge vyao!

    Hizi ndiyo habari za kufungia na kufungulia mwaka: La kuvunda halina ubani. Wakimeza, wakitema ni shauri yao!
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Njombe yawaonya watakaotoa zawadi bila vikao halali

    Chama Cha mapinduzi CCM mkoa wa Njombe kimepiga marufuku wanachama wa chama hicho kujipitisha na kutoa zawadi,misaada au kitu chochote katika kipindi hiki bila kuridhiwa na vikao halali vya chama na kwamba hatua Kali za kinidhamu zitachukuliwa kwa atakayebainika. Kupitia maazimio ya Kikao Cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…