ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM ijazwe kutatua changamoto ya ajira nchini

    Hellow !! Tatizo la ajira nchini ni kubwa, Si vyema nafasi iliyoachwa na Mzee Kinana iendelee kuwa wazi Hadi sasa, Mtaani kunajengeka taswira mbaya kwamba tatizo la ajira nchini halizingatiwi Kwa kuacha wazi nafasi Ya Makamo Mwenyekiti upande wa Tanganyika Hadi sasa kana kwamba hayupo...
  2. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa punguza kisebusebu wewe ulinunuliwa na CCM kuhujumu CHADEMA

    Huyu amekuwa akijiona ni mkamillifu sna na mjuaji kinoma yeye ameusika moja kwa moja kuhujumu chadema na hata saulika Leo amekuja naanza kuleta chuki zake na ukatoliki wake kwenye siasa za chadema huku akiwa ni msaliti namba moja Akumbuke alihongwa pesa ili kuivuruga chadem Leo ameibuka amenza...
  3. JamiiForums Tanzania Vijana: Tukitaka kuibadiri nchi hii tujiunge na CCM

    Japo nafasi ni chache ndani ya ccm lakini hadi sasa kwa haya yanayo endelea chadema, chama pekee ambacho hakina maslahi binafsi ni CCM. Sikuwahi kuamini kelele za watu kwamba chadema ni chama cha familia ya mbowe hadi juzi alipo chokonolewa na kusema ukweli. Chadema is a very good business kwa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kupitia kinachoendelea ndani ya CHADEMA ni dhahiri CCM itaendelea kuwa chama dola kwa muda wa miaka mingi ijayo

    Ndugu wana JF, Ni ukweli usiofichika mpaka sasa CHADEMA imeshaingia kwenye mtego wa CCM na kazi nzuri iliyofanywa na watu ambao ni very smart na kwa uangalifu mkubwa ni kama imeshamalizika ikiwa na athari hasi kwa miaka mingi sana ijayo kwa CHADEMA na athari chanya kwa CCM. Kete muhimu za...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kumbukumbu...yanayotokea kwa Chadema mwaka huu, yalitokea kwa CCM mwaka 1994!

    Mwaka 1994, wana CCM waliokuwa wakifaidika chini ya utawala wa Rais Mwinyi, kwa kuogopa mabadiliko, hawakutaka ang'atuke baada ya kumaliza kipindi chake. Kampeni kubwa ilifanywa ya kutaka Katiba ifanyiwe mabadiliko Mwinyi awe mgombea pekee kwa kuogopa nguvu na moto waliyokuwa nao wapinzani na...
  6. JamiiForums Tanzania Kipimo sahihi cha CHADEMA sio CCM

    Watu wanaoilinganisha CHADEMA na CCM wanakosea na wana uelewa duni wa siasa . Kimuundo au kiutendaji huwezi kuipima CHADEMA dhidi ya CCM, haifai kulinganisha hivi vyama kwa mambo hayo. Utofauti wa hivi vyama huko hivi CCM ni sawa na serikali au dola, ni vigumu kuchora mstari wa kutenganisha...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nini ccm wamefurahi zaidi Mbowe kuwa mwenyekiti kuliko Lissu?

    Nimeona mitandaoni na kwenye vyombo vya habari inaonekana ccm pamoja na serikali wana matumaini makubwa sana na Mbowe kuliko Lisu. Wako tayari kumpigia kampeni Mbowe na kupiga kampeni dhidi ya Lisu. Haya mahaba na Mbowe yanatoa picha gani!?
  8. JamiiForums Tanzania Kati ya CCM Serikali na Watanzania nani mwenye roho mbaya zaidi hasa kuhusiana na uraia pacha?

    Kumekuwa na mjadala unaoibuka na kufa kila mara. Nao si mwingine bali wa kuruhusu uraia pacha katika Tanzania. Serikali imekuwa ikipiga danadana wakati huo ikipigia chapuo uwekezaji wa watanzania waishio ughaibuni nchini. Kuna dalili kuwa serikali ina uchu na pesa ya watu hawa lakini haiwataki...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri: Wale mnaotoka upinzani wahini muhamie CCM Mapema kunakaribia kujaa

    Mda ndio huuu Msisubiri sijui uchaguzi ufanyike Wale mnaotoka CHADEMA hamieni CCM. Nafasi zimebaki chache Na hiii kujitoa sijui kwenye kamati flan iendane na uhamisho WA jumla Unajivua uongozi na Badoo uko kama mwanachama sijaona manufaa yake Fanyeni maamuzi magumu sasa Gdnyt
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini hamna Mwana CCM aliyempongeza LISSU au kumsema vibaya Freeman Mbowe?

    Am still trying to figure out why ? Wanachama wa CCM asilimia Kubwa kama sio wote wanapambana kuhakikisha FAM anabaki kua Mweyekiti. Ninawaza tu yaan katika Siasa ya Vyama zaidi ya 15 vyenye lengo la Dola , wanatokea Wafuasi wa Cha Dola, wakakuambia , Mwenyekiti komaaa ,uendelee kua...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mnamsakama Mbowe ila kuna wabunge wa CCM wamekalia viti tangu 2005 (2005---2025) 20yrs

    Hawa wakina Job Ndugai, Zungu, Shabiby, Olesendeka,na Simbachawene mbona hawaongolewi hawa tangu 2005 ni wabunge hawataki kung,atuka kama ni CCM ni wapenda demokrasia mbona wamekalia viti. Why double standard kwa Freeman Mbowe
  12. JamiiForums Tanzania Wazazi na ndugu zangu ni CCM, walikuwa wakinishangaa kwa nini siwaungi Mkono. Jana sabato wakaniuliza kichokozi vipi mwanamageuzi!

    Hahahaha! Nimeona niwasalimu kwa kicheko. Miaka kadhaa iliyopita, ndugu zangu ambao baadhi Yao ni wananafasi za uongozi huko CCM walikuwa wakichukizwa Sana na Tabia yangu ambayo kwao waliona haina Tija. Mara kwa mara walikuwa wakinishinikiza niwe upande wa CCM kama wao walivyo. Robert huko...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Mkoa wa Iringa imepiga marufuku Wanachama wanaoanza kufanya kampeni kabla ya uchaguzi

    Kwani walikuwa awajui kwamba kuna wanachama wao wameanza kampeni? Lakini mbona kama njia zao maana tumeshuhudia baadhi ya viongozi wakubwa nao wakijipigia kampeni mapema! ================ Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa kimepiga marufuku Wanachama wanaoanza kufanya kampeni mapema...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Je, kwanini wanaomshabikia Mbowe wengi wao ni wana CCM?

    Wakuu habari zenu. Nimefuatilia majukwaa ya kijamii kadhaa wa kadhaa na kuona kua,wengi wanaompigia chapuo Mbowe na kumpamba ni wale ambao tulikua tukisuguana wakati tunaipinga CCM. Kwa wale wataalamu wa mambo ya siasa za Tanzania, naomba wanisaidie kujua kwa nini Mbowe amependwa ghafla hivi na...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mwenezi CCM Iringa awahimiza wananchi kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo mkoa wa Iringa Mwl. Joseph Ryata amewaomba Watanzania kujitokeza kujiandikisha kwenye zoezi la kupata vitambulisho vya Mpiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu mwakani 2025. Akizungumza wakati wa mafunzo ya walimu Makada wa CCM mkoani Songwe, Ryata alisema kuwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira tunaomba ufafanuzi kuhuzu Ajira za walimu tangazo linalosambaa mtandaoni kwamba wenye kadi ya ccm watapewa kipaumbele

    Nimeweka tangazo kama linavyosomeka namba zilizotumika ni namba za UVCCM dar es salaam . Inaonekana vijana walio uvccm watapewa kipaumbele kwenye hizo ajira Huu ni mchezo ambao haukabiliki haiwezekanu tukaungiza siasa kwenye Ajira . Kua UVCCM haiwezi kukupa uhakika was Ajira tunaomba haki...
  17. JamiiForums Tanzania CCM tuongozeni milele kuliko manyumbu wafuasi wa chama fulani

    Baada ya mwenyekiti wao na wafuasi wake kusema amekipambania chama nikatafakari na kujua wafuasi wa iko chama ni manyumbu Iv kupambania maana yake katumia garama au pesa , kwa mfanya biashara mzoefu haoni hasara ku take risk ktk biashara Uwekezaji wake katika chama wao wanaona kapambana...
  18. JamiiForums Tanzania Hakuna chama cha kupambana na ccm wanachofanya n kupambania ruzuku itawatafuna sana

    Nimeona SEHEMU ati Fujo za chadema zitansaidia MH SAMIA kupitia kiurahisi Kwa kifupi hakuna chama cha kupambana na ccm wapendwa Kwa sasa wanachofanya n kupambania ruzuku tu YAAN ukisikia HATA wale wanajiita wenyeviti sijui wanataka mtu flan awexe kukomaa kupambana na ccm walee n wahunii...
  19. JamiiForums Tanzania Niliwahi kuwaambia kuwa CCM na CHADEMA ni chama kimoja na nikawaambia Simba na Yanga ni timu moja, ila sikueleweka

    CHADEMA na CCM niliwaambia ni chama kimoja. Hata huyu mnayemuita Lissu ni tajiri mkubwa tu Ila yeye alichofanikiwa ni Ku-play low key na kuendana na watu wanaoitwa wanyonge, hii mbinu pia alikuwa anaitumia Magufuri this guy was multimillionaire Ila alikuwa anaigiza kuwa yeye pia ni mtoto wa...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Simiyu: CCM Busega wachanga pesa kwaajili Rais Samia na Mbunge kuchukua fomu ya kugombea 2025, wengine watoa ng'ombe

    Wakuu, Wanachi Simiyu wamejichanga changa kwa mwenye mia tano, buku na zaidi na kufikisha Tsh. 553,000/- kwaajili ya mbunge na Rais Samia kuchukua fomu kwaajili ya uchaguzi 2025! Hayo yamejiri Busega, Simiyu leo December 22, 2024 ambako Waziri Majaliwa alikuwa mgeni Rasmi katika mkutano wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…