ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Mkoani Iringa limewakamata Watuhumiwa watatu kufuatia mauaji ya aliyekuwa Katibu wa CCM Wilaya ya Kilolo

    Naona Polisi lipo na kasi ya 5G kuwakamata watuhumiwa waliofanya makosa kwa viongozi wa CCM ila upande wa vyama vingine uchunguzi unachukua muda mrefu sana. Kwani kuna siri gani kwenye chunguzi zao? ================ Jeshi la Polisi Mkoani Iringa Limesema limewakamata Watuhumiwa watatu kufuatia...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA hakuna mpasuko wala mgawanyiko ni weweseko la CCM na mwisho wa siku CHADEMA itaibuka imara zaidi ya jana

    Ukiona adui Yako anafwatilia mambo Yako ya ndani jua anakuogopa na pia ukiona anachochea migogoro dhidi Yako ujue uko IMARA kuliko yeye. CHADEMA hakuna MPASUKO kama wengi wanavyodhani hizo ni siasa za ndani na ni kawaida. Hivyo ccm kuchochea moto ionekane CHADEMA Kuna migogoro LISSU VS MBOWE ni...
  3. JamiiForums Tanzania Watu waliokataa Magufuli asiongezewe Miaka ndio haohao wanashadadia Mbowe aendelee kuongoza. Ndio haohao wanakapinga CCM isiendelee! Unafiki mtupu!

    Mpo salama! Watu wenye ndimi mbili. Watu wenye mawe mawili ya kupimia ni watu Hatari Sana popote walipo. Ni watu wanafiki na muda wowote wanaweza kukuuza. Alipokuwepo Magufuli, Chawa wake walitoa maoni Yao kuwa Magufuli aongezewe Muda, Magufuli atawale milele, na kama Magufuli angekataa wapo...
  4. JamiiForums Tanzania Ngurumo: 90% waliohudhuria huo mkutano wa Tundu Lissu alipokuwa akikinanga chama chake, walikuwa ni wana CCM waliovaa sare za CHADEMA bila yeye kujua

    Kweli ccm ni zaidi ya hatari. Ni wabobezi na welevu wa kila mbinu za ku deal na upinzani in a friendly way bila wao kujua. Kumbe waliohudhuria ule mkutano wa Tundu Lisu alipokuwa akikinanga chama chake cha chadema, wengi waliohudhuria mkutano huo, pasipo Tundu Lissu kujua, walikuwa ni wana ccm...
  5. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu Shemsa Mohamed ashiriki harambee kanisa la KKKT na kuchangia milioni 33.2

    MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SIMIYU NDG. SHEMSA MOHAMED ASHIRIKI HARAMBEE KANISA LA KKKT NA KUCHANGIA MILIONI 33.2 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed, ameungana na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika harambee ya kuchangia...
  6. JamiiForums Tanzania LGE2024 Issa Ussi Gavu: Ushindi wa CCM kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni juhudi za wanachama

    Wanachama wa CCM ndiyo ilikuwa silaha ya ushindi kwa chama chao. Mh lakini ukitupia kwa jicho la tatu je ni kweli wanachama pekee yao au kuna namna ilifanyika tangu mwazoni? ================== Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeeleza kuwa ushindi wa kishindo ulioupata kwenye uchaguzi wa Serikali za...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA isanuke, Mbowe ni pandikizi la system, kazi yake kubwa ni kuhakikisha Dola inabaki mikononi mwa CCM daima

    2015 ndio ulikuwa mwaka pekee wa upinzani kuingia Ikulu na CCM kuwekwa pembeni huku mafisadi yakisubiri kuburuzwa Mahakamani. Lakini kinyume chake ni kwamba mafisadi walizidi kung'ara na wanaendelea kuitafuna nchi . Mbowe ndiye aliyehakikisha kuwa mwana CCM machachari Mh. Lowasa anapeperusha...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Serikali na CCM wamejua mambo mengi sana kwa muda mfupi tu kuhusu yanayoendelea ndani ya Chadema

    Kwanza imebainika kuwa Mbowe ndio anatafuta hela, anakozitafuta wapi hatujui, serikali ifuatilie Pili, Chadema inalalamika uchaguzi nchini sio huru na wa haki, tutaona ndani ya chadema kama Tundu Lissu hataibiwa kura zake ama nyani haoni kundule na hapa mkiibiana kura tusisikie tena mkilalamika...
  9. JamiiForums Tanzania Ansbert Gurumo ahoji kwa nini Lissu atumie kibwagizo cha CCM wakati akitangaza kugimbea uenyekiti "tuna imaniii.... na Lissu... Oyaa... "

    Ansbert Ngurumo, moja ya magwiji wa habari na uchambuzi ameonyesha kuwa na mashaka kwamba kwa nini Lissu ameibuka na wimbo wa CCM katika kutangaza nia. Mwandishi huyo amesema kwamba inawezekana mkutano wa Lissu ulijaa wana CCM waliovalishwa nguo za Chadema, hivyo wakajisahau na kujikuta...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Yanayotokea CHADEMA, ni wazi CCM inayo miaka mingine 100 ya kutawala

    Moja ya agenda kuu ya Msomi Lissu ni kuhakiksha chama kinaendeshwa kama taasisi badala ya chama kutegemea mtu mmoja ambae kimsingi ni huyu Mwenyekiti wa sasa Mzee Mbowe. Kinachosikitisha ni matusi na kejeli toka kwa mchawa wanaomuunga mkono mzee Mbowe kuonyesha sura halisi ya kuwa huyu mzee...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi (CCM ) na kushindwa kuhifadhi Historia kwa ufasaha

    Kwa hivi karibuni kila Mtanganyika na Mzanzibari ameshuhudia Serikali inayoongozwa na CCM ikiwa ni kinara wa kuendelea kuwasahaulisha kizazi hichi kipya historia mama ya Nchi yao Iliyo ni tunda la Muungano yaani Tanzania. Sherehe za Uhuru wa Tanganyika zimekuwa kama ni hisani, hazipewi kabisa...
  12. JamiiForums Tanzania Kwenye Uchaguzi Huu CHADEMA hatuna cha kujifunza kutoka CCM

    Chadema inacheza katika kiwanja cha Demokrasia kiwanja ambacho CCM haiwezi kuingiza team uwanjani, Chadema imeshikilia kurasa zote za mbele za vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi juu ya uenyekiti wa chama. CCM ni wageni wa mashindano haya ya Demokrasia ukiona wanashangilia usiwashangae...
  13. JamiiForums Tanzania Intelligence ya ccm iko hoi bin taaban.. Ya CHADEMA iko above next level..

    Imagine mpaka leo hii ccm wameshindwa kabisa kujua chanzo cha mapato kilichogharamia press conference ya TAL pale mlimani city.. Sasa wamebaki kuzushazusha tuu.. Mara eti mchungwaji Peter Msiigwa ndio kagharamia🤣🤣🤣 Mara Lissu kachangisha mwenyewe nknk Iteligensia ya CCM pia imeshindwa kabisa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Lissu na Mbowe leo hii

    Picha ya kikoa cha leo Lissu kajimaliza kisiasa kwa ushawishi wa msigwa
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanzania huwezi kuwa maarufu kisiasa kama hupambani na CHADEMA

    Kama unataka kuwa mwanasiasa maarufu Tanzania basi wewe onesha unapambana na CHADEMA. Kuna wakati Mzee Wasira aliomba kura ndani ya CCM kwa hoja kwamba yeye ndiye mwenye uwezo wa kupambana na CHADEMA, akachaguliwa. Leo baadhi ya Wana CCM wanamuona Samia Suluhu kama ni Mwenyekiti legelege kwa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Za ndani kabisa, Biteko kuwa makamu mwenyekiti wa ccm

    Tetesi za ndani kabisa kutoka viunga vya Kizimkazi zinasema mama anamtaka Biteko kuwa ndiye awe makamu mwenyekiti wa ccm. Endapo itakuwa kama inavyosemekana, je, nani atachukuwa nafasi ya unaibu waziri mkuu? Au nafasi hii itafultiliwa.mbali??
  17. JamiiForums Tanzania Lisu Kutia Nia, Kwa Nini Kelele Za Kuchanganyikiwa Zinatoka Zaidi CCM?

    Jana Tundu Lisu, kwa kutekeleza matakwa, uhuru na haki ambayo chama chake kinatoa kwa wanachama wote, alitangaza nia yake ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Chama Chake Ngazi ya Taifa. Wakati jambo hili ni la kawaida kabisa kwa vyama vyenye demokrasia, huko CCM watu wamechanganyikiwa na kutoa...
  18. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Demokrasia CHADEMA ni kubwa kuliko CCM. Sidhani kuna mtu atathubutu kutangaza nia yake kugombea uenyekiti wa CCM dhidi ya rais Samia Suluhu Hassan

    Hongera CDM kwa kuonesha upeo mkubwa wa ki-demokrasia kwa kuwa na mfumo unaoruhusu wanachama kugombea vyeo mbalimbali ikiwa ni pamoja na uenyekiti wa chama. Huwezi kusikia mwanachama wa CCM anatangaza nia yake ya kugombea uenyekiti wa CCM dhidi ya mwenyekiti aliyepo madarakani. Chadema...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ni kama Vile CCM wanamsaidia Mbowe kwa kupunguza kasi ya Internet au?

    Tangu jana Lissu aanze kutrend naona kama kumetokea shida ya ghafla ya Mtandao. CCM wanamsaidia Mbowe au?
  20. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: CCM si mfano bora wa demokrasia ya vyama

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, ameonyesha wasiwasi wake juu ya hali ya demokrasia ndani ya vyama vya siasa nchini, akisisitiza kuwa vyama vingi vimejikita katika kuongozwa na viongozi badala ya kuheshimu matakwa ya wanachama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…