ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania LGE2024 Aliyekuwa Mwenyekiti CCM, Kigoma atema cheche mbele ya Zitto Kabwe: Tumekwenda Jela kwasababu ya Matumbo yenu, miaka 10 nakokota matumbo yao

    Aliyekuwa Mwenyekiti CCM asimulia mazito aliyoyapitia akiwa CCM mbele ya Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe akiwa Ilalangulu, Kigoma akiwanadi Wagombea kulekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Novemba 27. Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: Special Thread: Orodha ya...
  2. JamiiForums Tanzania LGE2024 Msidanganyike, Pesa za TASAF si pesa za CCM

    Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Bara, Ester Thomas, ametoa onyo kali dhidi ya vitendo vya kuwahusisha wananchi wanaoiunga mkono ACT Wazalendo na madai ya kufutiwa msaada wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini (TASAF). Akizungumza na wananchi wa kijiji cha Masewa, kata ya Masewa, jimbo la Bariadi...
  3. JamiiForums Tanzania LGE2024 Dodoma: Sielewi mtu anawezaje kuangalia hizi picha zilizopostiwa na UVCCM huko Instagram na bado akaipigia kura CCM

    Wakuu, Nadhani kwa picha hizi zilizopostiwa na UVCCM huko Instagram, huu Uchaguzi ulitakiwa uwe ushaisha. Hii nchi ni maskini. Huyu ni Katibu wa UVCCM Kondoa, Shamsele Yesaya akiongea na Wananchi wa Vitongoji vya Eshkesh na Getakul Kata ya Itaswi Wilaya ya Kondoa. Kama mnavyoona hapo hao...
  4. JamiiForums Tanzania LGE2024 Katibu mwenezi Arusha: Wao wanaokoteza wagombea, CCM ina demokrasia

    Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Arusha, Antony Maswi amewaasa wagombea wa nafasi ya uenyekiti wa vijiji/mitaa na vitongoji kuzingatia demokrasia na kutumia lugha za staha wakati wakiendelea na kampeni zao. Soma: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania...
  5. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mtanda: Ajibu shutma vurugu za Simba SC, CCM Kirumba, "Sikuingia Uwanjani"

    Kufuatia sakata lililotokea Mwanza, na Uongozi wa klabu ya Simba kutoa taarifa ya kulaani vikali vitendo visivyo vya kiungwana vilivyodaiwa kufanywa na viongozi wa timu ya Pamba Jiji FC kwa kushirikiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, pamoja na maafisa wa polisi. Soma, Pia: + Vurugu...
  6. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti wa CCM Mbeya: Changamoto ya maji inaenda kuisha Jijini Mbeya, tunaleta mradi wa bilioni 117

    Mwenyekiti wa CCM Mbeya amesema changamoto ya maji inaenda kuisha Jijini Mbeya ifikapo mwakani (2025), kutokana na kupelekwa kwa mradi wa zaidi ya TSh. bilioni 117. Ametoa kauli hiyo katika uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Pia, Soma: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya...
  7. JamiiForums Tanzania FT: Pamba Jiji 0 - 1 Simba SC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium | 22.11.2024

    Vinara wa Ligi Kuu ya NBC Mnyama Mkubwa Mwituni, Simba Sports leo watashuka dimbani kupambana dhidi ya wenyeji wao Pamba Jiji katika mchezo utakaopigwa katika dimba la CCM Kirumba huko jijini Mwanza. Pamba Jiji ataweza kumzuia mnyama? Je, Simba ataweza kuendeleza wimbi la ushindi? Wana Simba...
  8. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mlezi CCM, Morogoro: Viongozi wao wakuu hawaelewani, hawataweza kutatua kero za wananchi

    Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Morogoro ambaye pia ni Mwenyekiti Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) Jana akizungumza kwenye Mkutano wa Hadhara wa Ufunguzi wa kampeni ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa/Vijiji katika Uwanja wa Chamwino Wilaya ya Morogoro...
  9. JamiiForums Tanzania LGE2024 Geita: Katibu wa CCM mkoa ajihakikishia ushindi kwenye Wilaya ya Nyang'hwale

    Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Geita kimeonyesha kujiamini kushinda Vijiji na Vitongoji vyote Wilayani Nyang’hwale baada ya Vijiji 39 kukosa wapinzani, huku vyama vya Upinzani vikifanikiwa kusimamisha Wagombea katika vijiji 23 pekee. Kwa upande wa vitongoji, CCM imepita bila kupingwa katika...
  10. JamiiForums Tanzania LGE2024 Aliyekuwa mwenyekiti wa kijiji kupitia CCM ampigia chapuo mgombea wa ACT- WAZALENDO

    Wakuu vipi huko kwenu kampeni zinakwendaje === Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Ilalanguru, Jimbo la Kigoma Kusini, mkoani Kigoma kwa tiketi ya CCM, Venance Chamaheke amemuombea kura mgombea wa ACT Wazalendo wa nafasi hiyo Juma Helandogo akieleza kuwa mgombea wa ACT anapaswa kufuata nyayo...
  11. JamiiForums Tanzania LGE2024 Hivi CCM ni chama kipya kilichosajiliwa mwezi huu?

    Kuna jambo linaendelea kwenye Kampeni za Serikali za mitaa zinazofanywa na chama kinachoitwa chama Cha mapinduzi (CCM). Jinsi wanavyoongea kwenye Kampeni hizo, ni kama vile hao watu wa CCM wamo kwenye chama kipya Cha siasa kilichosajiliwa hivi karibuni. CCM wanashangaa matatizo waliyonayo...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanga: Mwenyekiti CCM akabidhi vishkwambi kwa Madaktari Hospitali ya Wilaya Pangani ili kuwarahisishia kazi zao

    Wakuu, Huu ndio muda wao kutuoneshe ni watu wenye moyo sana na huruma mwingi, wenye kutoa bila choyo😂😂 Kupata taarifa za kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za...
  13. JamiiForums Tanzania LGE2024 January Makamba: CCM tunajivunia na sera nzuri na viongozi wanakubalika

    Hatimaye alikuwa kimya sana tangu ameteguliwa lakini sasa January Makamba ameibuka kwenye kampeni za kuwanadi wagombea wa chama chake CCM ===================== Mbunge wa Jimbo la Bumbuli ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, January Makamba amesema chama...
  14. JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, chagua Chama cha Mapinduzi (CCM)

    UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 , CHAGUA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) #tumetekelezakaziiendelee #ChaguaCCM #shirikiuchaguziwaserikalizamitaa
  15. JamiiForums Tanzania LGE2024 Godbless Lema awasha Moto wa Uzinduzi Arusha, CCM tumbo joto

    Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini ambaye pia ni Nabii wa Mungu ambaye Unabii wake Nchini Tanzania umetimia na Kupitiliza, Godbless Lema, leo Amezindua rasmi Kampeni za uchaguzi wa wenyeviti wa serikali za mitaa za Chama chake huko Arusha. Lema kwa Ufupi amewaambia Wananchi wasiichague ccm na...
  16. JamiiForums Tanzania Vurugu kali zimezuka Uwanja wa CCM Kirumba wakati Simba SC ikifanya mazoezi kuelekea mechi ya Ligi na Pamba Jiji

    Vurugu zimetokea wakati Simba SC ikifanya mazoezi yake ya mwisho kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza Kuelekea Mchezo wa Kesho wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Pamba Fc dhidi ya Simba SC. Wakati vurugu hizo zikiendelea zimepelekea mazoezi kushindwa kuendelea. Soma Pia: Ahmed Ally awahofia...
  17. JamiiForums Tanzania LGE2024 Sera za Wagombea uongozi wa CCM zinawasilishwa kwa umahiri, hekima, busara na heshma kubwa sana ukilinganisha na vyama vingine vya siasa

    Vipaumbele vya wagombea uongozi wote wa CCM, vinaelezwa kwa ufasaha, umakini na kwa mpangilio mzuri sana na unaeleweka kirahisi kwa wapiga kura. Hii imechochea hamasa kubwa mno kwa wapiga kura wengi zaidi, tena wa vyama vyote vya siasa kujitokeza na kuwasikiliza wagombea vijana wasomi wa CCM...
  18. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigoma: Mwenyekiti wa kijiji aliyemaliza muda wake kupitia CCM amuombea Kura Mgombea wa ACT Wazalendo

    Wakuu! Tuseme hii ndiyo siasa bora au kuna kanamna fulani hivi kati ya ACT Wazalendo na CCM? =================== Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Ilalanguru, Jimbo la Kigoma Kusini, mkoani Kigoma kwa tiketi ya CCM, Venance Chamaheke amemuombea kura mgombea wa ACT Wazalendo wa nafasi hiyo...
  19. JamiiForums Tanzania Tukisema ndani ya CCM, ACT-Wazalendo na CHADEMA kuna mfumo unaonufaisha wachache na CCM, tunakosea?

    Binafsi ninaweza nisiwe mwanasiasa mzuri lakini nionavyo mimi ni kwamba ACT na CHADEMA wananufaika na uwepo wa CCM, na CCM wananufaika na uwepo wa hawa ACT, CHADEMA. Sasa kwa mfumo kama huu inamaana CCM itaendelea kuwepo madarakani kwa miaka mingine mingi Sikatai kama huku CHADEMA na ACT...
  20. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenezi wa CCM Taifa Amos Makalla anaongea kwenye Ufunguzi wa Kampeni za CCM Kigamboni

    Katibu Mwenezi wa CCM Taifa, Amos Makalla anaongea kwenye Ufunguzi wa Kampeni za CCM Kigamboni https://www.youtube.com/watch?v=KAib-FeKy1c
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…